Android OS Update

Android OS Update

Mm nataka update from 4.2.2 Android to 9
Natumia Huawei T1 701u tablet
Msaada
 
S6 yako ni model ipi,na ina android version ipi kwa sasa?
Mkuu natamani sana kuupgrade S6 yangu lakini naona changamoto ni nyingi sana. Nikitaka unisaidie unanitoza bei gani au kama unajua mtu yeyote anaefanya hivyo unielekeze
 
S6 yako ni model ipi,na ina android version ipi kwa sasa?
Hiyo hapo mkuu
Screenshot_20190616-213241.jpeg
 
Mkuu nimekujibu kwa hiyo model yako ni ngumu kupata stock rom itayokubali, otherwise utumie custom rom,ambayo ni process kidogo kuanza kuiweka..ila kama upo tayari nikupe procedure upambane nayo mwenyew
Au unaweza kufanya kama nilivyoomba hapo juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom