riro23
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 790
- 781
Infinix hot 7No simu gani hiyo.!
Infinix hot 7No simu gani hiyo.!
Wewe ni moja ya watu wanaokwepa responsibility zao. Naona unatafuta mtu wa kumuangushia jumba bovu.
Me najua sa
hapana mkuu... wewe kama unajua nielekeze tuHahahah dah. pole mkuu.
Wakati naroot simu for the first time nilikaa week nzima sipo hewani. Simu yangu haitaki kuwaka inafanya bootloop tu.
The day day nmefanikiwa kuroot nilijiona stupid sababu ni kitu ambacho kingechukua 15minutes tu ila kikanikula week nzima.
naomba unipe kwa ufupi steps za kuroot then nifatilieHahahah dah. pole mkuu.
Wakati naroot simu for the first time nilikaa week nzima sipo hewani. Simu yangu haitaki kuwaka inafanya bootloop tu.
The day day nmefanikiwa kuroot nilijiona stupid sababu ni kitu ambacho kingechukua 15minutes tu ila kikanikula week nzima.
Ingia udemy.com kuna course kibao za kuroot simu. Nmeshindwa kuweka link hapa sababu ya sheria za jf.naomba unipe kwa ufupi steps za kuroot then nifatilie
yangu ni s7 edge inagonga kazi vizuri tu ila nataka nitoke mashmallow niende oreo au noigatIngia udemy.com kuna course kibao za kuroot simu. Nmeshindwa kuweka link hapa sababu ya sheria za jf.
Ila kuna simu flan za wamarekani ikiwemo AT&T nmesahau brand nyingine kama ni verizon au lah. Huwa zinasumbua sana kuroot.
Ndo uingie huko Udemy utafute kuna kozi kibao za video zinaelezea namna ya kuroot.yangu ni s7 edge inagonga kazi vizuri tu ila nataka nitoke mashmallow niende oreo au noigat