pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,946
- 4,233
Ina 1.66gb nasubiri usiku nianze kupakua.Mkuu tumefikia wapiCode:
Ina 1.66gb nasubiri usiku nianze kupakua.Mkuu tumefikia wapiCode:
kaka nilisahau kufanya back up kwenye a5ylte na imei kwasasa ni "unknown"( sim card netwk hamna).. vipi una maujanja?Hiyo noma mkuu,labda utumie custom rom
kaka nilisahau kufanya back up kwenye a5ylte na imei kwasasa ni "unknown"( sim card netwk hamna).. vipi una maujanja?
SAMSUNG A520F/DS (A5 2017)Ni sim gani hiyo mkuu?
Baseband ipo? Kama ipo utaandika imei tu upyaSAMSUNG A520F/DS (A5 2017)
mkuu ,je mimi naweza ku update simu yangu samsung note 1 kutoka current version ya 4.1.2 kwenda angalau hata android 5Baseband ipo? Kama ipo utaandika imei tu upya
mkuu saidia update ya s6edge kwenda 9.android
View attachment 1130024
mkuu ,je mimi naweza ku update simu yangu samsung note 1 kutoka current version ya 4.1.2 kwenda angalau hata android 5
ok mkuuNdio mwisho hapo mkuu, otherwise custom rom itumike..sasa hayo mambo ya custom yanataka root na makorokocho typ hzo
ok mkuu
ila ipo rooted
mimi nipo tayali mkuu mana hii current version kwangu sioni cha maana kabisaUkijiskia siku unataka take risk niambie
Kuna hii oreo custom ya s6 edge..ni port ya note 8 kali sana
![]()
[ROM][STABLE][8.0.0]Ultimate Oreo Note8 Port v1.0 [G920/5-F/I/S/K/L/T/W8]
Disclaimer: * This ROM is made for Only S6 and S6 Edge! * Flash it at your own Risk! * Your warranty is VOID Knox flags 0x1 * I'm not responsible for damage to Any dead equipment or loss of warranty! Description: Based on Official...forum.xda-developers.com
nielekeze tu mkuu mimi nipo tayali kurootKwa custom rom labda.. otherwise ndo mwisho wako hapo
mimi nipo tayali mkuu mana hii current version kwangu sioni cha maana kabisa
Wewe ni moja ya watu wanaokwepa responsibility zao. Naona unatafuta mtu wa kumuangushia jumba bovu.Wakuu habari zenu.
Naomba msaada juu ya ku-update samsung s7 edge kutoka android 6 hadi 8(oreo) kwa custom room.
Lengo la kuomba ni kupata hiyo update kwa sababu hii simu ina verzon brand na sio international version, hivo nashindwa kuupgrade kwa njia ya kaiwaida inayotumika na wengi.
Nimejaribu kuserach google nimeona solution ila ni complicated sana
NOTE: nataka kufanya hiyo update bila ku-root simu
Hahahah dah. pole mkuu.kaka nilisahau kufanya back up kwenye a5ylte na imei kwasasa ni "unknown"( sim card netwk hamna).. vipi una maujanja?
Wewe ni moja ya watu wanaokwepa responsibility zao. Naona unatafuta mtu wa kumuangushia jumba bovu.
Me najua samsung kila kitu kinaishia kwenye ODIN.
No simu gani hiyo.!Mkuu samahani hivi Kama Sim imeandikwa operating system :Android 8.1 (go edition)
Halafu inaleta notification za ku update Ina maana nikiaupdate itakuwa Android 8.2 au??
Kwa sababu sielewi chochote juu ya haya mambo