Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

Kwa hiyo wewe ndio umeona pros and cons za ku allow developer mode kuliko wataalamu wooooote wa NMB. Aisee Kwamba Bank waliweka hiyo feature bila kujua kwamba haina faida
Mnashindwa kuelewa hoja yangu na kuanza vijembe visivyo na maana,

Ndo maana hata mwanzo kabisa sikutaka hata kukuonyesha kazi zangu sababu una akili fln mgando hivi. Asingekua user mmoja kukuwekea hapa nisingeendeleza hii debate na wewe sababu tuka mwanzo nmeshakuona upeo wako mdg sana
 
Bado upo kwenye theory and introduction levels of developers and hackers world.
Kwani usingefanya hicho unachok8fanya kama unadhani ni rahisi kama udhaniavyo?
Wewe sikia, mimi nimeingia kwenye app kama user ikanisumbua na ndo maana nimeandika hapa chanzo kikubwa cha kunisumbua.

Kama NMB wanajiamini si watangaze bug bounty programme basi niingie kama hacker tuone securities zao, kwa sasa siwezi ingia kama hacker na nikaweka mambo wazi sababu sheria zitanibana, waambie waweke bug bounty kule hackerone kama wanavyofanya paypal halafu nistue hapa
 
Unarudia kilekile nilichokwambia, ukishakua na kukomaa utajifunza kuongea na kutenda tofauti
 
Unarudia kilekile nilichokwambia, ukishakua na kukomaa utajifunza kuongea na kutenda tofauti
Hahaahaaaaaa

Unatia huruma, wanaonijua humu wakiona comment yako watakushangaa. Mwenzako kaomba kazi zangu, sijampa lkn akaletewa na watu wanaojua kazi zangu.

Sijaanza leo wala jana kwenye hii sector chief, kama una point ongea, kama una vijembe count me out
 
Inawezekana kipindi mimi naanza kazi, wazazi wako walikuwa hata hawajajua kama watakuja kukutana na kukupata wewe, haha.
Young man, control your ego. Sehemu mimi nimefanya kazi, wewe hata kazi ya ulinzi hauwezi kupewa.
that's too offensive, namuombea msamaha tafadhali, next time atakuja akiwa amejipanga..
 
that's too offensive, namuombea msamaha tafadhali, next time atakuja akiwa amejipanga..
Mnajikuna then mnacheka wenyewe, hahahaaa

Angalia huko juu watu wanavyotukana app yenu, mngekua na utaalam mnaosemea mngefanyia kazi hilo swala, na mengine watu waloongelea hapa kwemye uzi, kama na wewe ni moja ya developers wa huko basi mna safari ndefu sana bado, watu watatumia app yenu kisa tu hawana alternative, ila alternatives zikija watawakimbia.
 
Hizo apps zake zinaingiza Tsh ngapi? Au zimebeba risk kiasi gani kwa watumiaji? Unafananisha draft na financial app mzee? Na wewe wale wale tu. Akasome guidelines za OWASP ndio aanze ubishi
Kha! Wewe yako iko wapi? Tuanzie hapo kwanza, maana naona unarusha mipasho tu hapa. Mtoa mada kaongea point sijui kwanini umeshindwa kumuelewa. Huwezi kuniambia nisitumie dev option nikitumia app yako.
 
Huu uzi unaweza kuwa jukwaa zuri la kufunzana na kubadilishana uzoefu. Kutunishiana misuli kunau derail na kuupelekea kufa wakati ungeweza kuwa resource nzuri Kwa wengi walio humu sasa na baadaye. Binafsi nimejifunza vitu pamoja na yote, na naamini kuna mengi zaidi ya kufunzana, lakini tunapoteza opportunity hii kwa namna unavyokwenda.
 
Mimi pia nimekutana na hii changamoto mpaka nimejikuta natenda dhambi ya kutukana hovyo
Nadhan ugumu wa uelewa.mbona nimefanya update ndan ya dk 5 imekubal
Fata maelekezo nmb app ukisha update mbona rahis sana si unaelekezwa kwenda kui activate kwa ile 150"66# pale unapata otp unaenda kwenye app chap kwaa inakubal sasa ulikua unafel wap?
 
Sasa hivi ndo nimepata hayo maelekezo ila mwanzoni walikua wananiambia tu mambo ya connection problems
 
Back
Top Bottom