MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,356
- 3,620
Pole mkuu pixel 6a hakuna mpya yaan non active HAKUNA zilizopo ni rufurbished...kupata simu mpya ni kuanzia pixel 7 tena napo uwe unazijua simu la sivyo utaambiwa ni mpya...watu wengi hawajui tofauti ya simu mpya na rufurbished na hili somo inabd litolewe maana watu wanapigwa sana za kichwaPixel 6a mpya unboxed zipo
Pixel wameanza kutoa Refurb nadhani ni mwezi wa 10 so wana miezi miwili tu mpaka sasa.
