Android 1.5 to 2.1 or 2.2 froyo

Android 1.5 to 2.1 or 2.2 froyo

Ka2pain

Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
97
Reaction score
26
habari gani wanaJF., ninaomba msaada wa jinsi ya ku'upgrade android os ya simu from 1.5 to 2.1 au 2.2 (froyo). natanguliza shukrani za dhati.

nilijaribu ku'upgrade automatic lakini haikuniletea option hiyo kwenye simu., kuna baadhi wamenishauri nijaribu manually sasa ndo sijui vip.,
 
Mkuu unadownload update yako kwenye pc then unaconect file na pc halafu unarun hio update then fata mashart

Alternative download pc soft ya simu yako. Kama ni Samsung download kies then tumia hio kufata maelekezo ya ku update.

warning ku tumia update ambayo si ya simu yako kutapelekea ku brick simu. Mfano simu yako ni ya orange UK ukaeka update ya Vodafone Germany then simu itaharibika.
 
nashukuru Mkwawa., simu yangu ni lg wr620. nimejaribu tafuta kwenye mtandao sehemu ambapo naweza download bila mafanikio. naomba unisaidie site ambayo naweza download hiyo os.
 
Siku hiz nikama baadhi ya cm hawa toi apgrade so kilichobakia ni ku avoid your warant.kwa kuroot sim ambayo itakupa kuinstall rom uunayoitaka au v.uipendayo kulingana matumzi unvyo penda cm iwe.na kufanikisha hilo lazima uwe na computer,upakue mafaili yatakayo kuwezesha ku root cm yako pia uwe ni mwenye kuilewa computer maana mambo ya command kupitia computer ya husike.JINSI ya kutafuta msaada zaid open google seach andika rooting aina ya cm, utapata maelezo kwa kilefu na namna ya kufanya hivyo
 
Msaada nimeroot simu yangu nikafanikiwa lakini nimefuta Rom kwa bahati mbaya inataka ni update from sd nifanyaje?simu yangu ni tecno n3
 
Unatakiwa uchomoe sd card adowload recovery img alafu download rom unayotaka kwamfano synogenmod7.2 usizifanye chochote zaid a kuzikopi kwenye sd.1 ingia kwenye fastboot mode chose from sd card 2ingiza recovery img yako uwa ina kama mb 3-6 ita load ikimaliza ingiza rom mpya choose from sd card kumbuka ku backup then wipedata,caches..... reboot
 
Back
Top Bottom