- Thread starter
- #101
Wewe ndiye uthibitishe kuwa Mungu hayupo.Huwezi prove Mungu huyo kama yupo,
Kama mimi ni muongo thibitisha hilo.
Mimi nimethibitisha Mungu yupo.
Wewe ndiye uthibitishe kuwa Mungu hayupo.Huwezi prove Mungu huyo kama yupo,
Kama mimi ni muongo thibitisha hilo.
Jikite kwenye mada.
Thibitisha Kuwa Mungu hayupo,
Tuambieni njia Gani ulitumia kumtafuta ukamkosa Kisha ukathibitisha hayupo.
Content na kiini cha Uzi wako kinahusu nini?Wapi nimekulazimisha kumfuata Mungu ndugu MPUMBAVU Infropreneur sawasawa na (Zaburi 53:1)
Kama umepotea , unahitaji kumtafuta Mungu . Mungu inatakiwa umthibitishe wewe mwenyewe . Mpokee Mungu atimize kusudi lake kwako. Mdhihirishe Mungu kwa matendo yake kulingana na kuumbwa kwako kwa sura na mfano wa Mungu .Wapi umethibitisha Mungu yupo?
Na kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, kwa nini tunahitaji kuthibitisha yupo?
Kwa nini Mungu huyo hajajiweka wazi kabisa kiasi uwepo wake ujulikane na kila kiumbe, kusihitajije uthibitisho kwamba yupo?
Huoni kwamba wewe kuhitaji kuthibitisha Mungu huyo yupo huo nao ni uthibitisho kwamba Mungu huyo hayupo?
Uthibitisho hata ukiuona utaujua?Huna HOJA,
Umeshindwa kuthibitisha kuwa Mungu hayupo.
Mimi nakwambia wewe unayesema Mungu yupo thibitisha Mungu yupo, halafu wewe unayesema Mungu yupo umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo, unanipa kazi ya kuthibitisha Mungu yupo mimi tena?Kama umepotea , unahitaji kumtafuta Mungu . Mungu inatakiwa umthibitishe wewe mwenyewe . Mpokee Mungu atimize kusudi lake kwako. Mdhihirishe Mungu kwa matendo yake kulingana na kuumbwa kwako kwa sura na mfano wa Mungu .
Binadamu mwenzako anapomthibitisha Mungu wakati mwingine huwezi kumwelewa sababu kusudi la Mungu kwake ni tofauti na kwako . Mti wenye asili ya maembe hauwezi kuulewa mti wenye asili ya parachichi . Kila mtu anamthibitisha Mungu kwa namna yake kulingana na alivyo umbwa kwa sura na mfano wa Mungu .
Nimeandika kuhusu umuhimu wa sisi kumpa sifa Mungu , wewe umekuja kumwambia nithibitishie kama Mungu yupo.Content na kiini cha Uzi wako kinahusu nini?
Unajua wewe ndio Mpumbavu mkubwa wala huelewi ulicho andika una bwabwaja kama mwehu usio jielewa.
Mimi nimethibitisha yupo Mungu yupo na ninaongea naye daily,Mimi nakwambia wewe unayesema Mungu yupo thibitisha Mungu yupo, halafu wewe unayesema Mungu yupo umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo, unanipa kazi ya kuthibitisha Mungu yupo mimi tena?
Nakuuliza hivi, Huyo Mungu wako Aliumbaje binadamu wasio mwamini na kumjua yeye yupo?Nimeandika kuhusu umuhimu wa sisi kumpa sifa Mungu , wewe umekuja kumwambia nithibitishie kama Mungu yupo.
Sasa BIBLIA yangu inaniambia katika (Zaburi 53:1) kuwa MPUMBAVU amewaza moyoni kuwa hakuna Mungu,
Sijakutukana, Kwakuwa Hujamtafuta Mungu na kumkosa na unasema hayupo,
Niko sawa kukuita MPUMBAVU ndugu Infropreneur
Mimi na wengi duniani Kwa maelfu tunamwamini Mungu,Nakuuliza hivi, Huyo Mungu wako Aliumbaje binadamu wasio mwamini na kumjua yeye yupo?
Mungu huyo, Alishindwaje kuumba binadamu watakao mjua yeye yupo kwa wakati wote na siku zote?
Huoni kwamba kazi yake huyo Mungu ya uumbaji ina dosari na kasoro kwa kuumba binadamu wasio mwamini????
Nadhan bado hoja yake haujaielewa anachotaka thibitisho uwepo wa icho unachokiamini then mengine yaje kama kumtafuta nayeye atamtafuta akiamini uthibitisho wako uwenda ukajenga ushawishi kwa wengine.Ndo mana nasema unakosea kusema usemavyo ilhali Hujamtafuta Mungu kuthibitisha uwepo wake, unakimbilia kusema hayupo!!
Nimekwambia Mimi naongeaga naye, wewe unasema ni maruweruwe,
Imekuwaje wewe kudai Mimi Nina maruweruwe kabla ya kuthibitisha kuwa ninayeongea naye ni Mungu au la!!
Kila sifa njema iliyopo duniani inathibitisha kuwa Mungu yupo . Sifa zote za uhai zinathibitisha Mungu yupo . Sifa zote za matunda na vyakula vitokanavyo na mimea zinathibitisha Mungu yupo . . Kila sifa njema.Mimi nakwambia wewe unayesema Mungu yupo thibitisha Mungu yupo, halafu wewe unayesema Mungu yupo umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo, unanipa kazi ya kuthibitisha Mungu yupo mimi tena?
Na sifa mbaya nazo zinathibitisha Mungu hayupo?Kila sifa njema iliyopo duniani inathibitisha kuwa Mungu yupo . Sifa zote za uhai zinathibitisha Mungu yupo . Sifa zote za matunda na vyakula vitokanavyo na mimea zinathibitisha Mungu yupo . . Kila sifa njema.
Mungu gani?Mimi na wengi duniani Kwa maelfu tunamwamini Mungu,
Wapumbavu hao waliumbwa na nani?Wapumbavu kama wewe sawasawa na (Zaburi 53:1) wasioamini pia hawabadili UKWELI kuwa Mungu yupo.
Na asivyo na ubaguzi, anaendelea kukupa Pumzi Bure Hadi pale utakapoamua Kwa utashi wako kukubali kuwa Mjinga uamini Mungu yupo.
Sifa mbaya zina mthibitisha shetani mkuu . Shetani ana tabia ya kujiweka kwenye nafasi ambayo siyo yake .Na sifa mbaya nazo zinathibitisha Mungu hayupo?
Au sifa njema tu zinathibitisha Mungu yupo, lakini sifa mbaya hazithibitishi Mungu hayupo?
Kabla ya shetani kuwa shetani, Uwezo wa kuwa shetani aliupata wapi?Sifa mbaya zina mthibitisha shetani mkuu . Shetani ana tabia ya kujiweka kwenye nafasi ambayo siyo yake .
Kwani Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna ubaya na ulimwengu ambao shetani hawezi kuwepo?Sifa mbaya zina mthibitisha shetani mkuu . Shetani ana tabia ya kujiweka kwenye nafasi ambayo siyo yake .
MPUMBAVU anazidi kujitutumua. Sawasawa na (Zaburi 53:1).Mungu gani?
Allah, Zeus, Krishna?
Wapumbavu hao waliumbwa na nani?
Kama Mungu ndiye Muumbaji wa kila kitu basi hao wapumbavu waliumbwa na Mungu mpumbavu aliyeshindwa kuumba binadamu wasio wapumbavu.
Sasa mimi mbona najiandaa kumsifu na kumtukuza Mama .Salaam, Shalom.
Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu.
Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo zilizofupisha uhai wake.
Unakuta mtu anasema, "Mama yangu ndio Kila kitu katika Maisha YANGU", hazipiti siku miezi au miaka michache Mama anaaga Dunia.
Mwingine ana ndugu ambaye amejaliwa moyo wa kheri, anayesaidia ndugu, ukoo na JAMII inayomzunguka, watu Badala ya kumshukuru Mungu, utasikia, " James ndiye tegemeo katika ukoo wetu", Mungu anasahaulika, utukufu anapewa mwanadamu, msilolijua, Kwa kumpa utukufu mtu Badala ya Mungu, mnafupisha uhai wa mnaemsifia.
Marehemu Magu alipofanikiwa Kwa haraka katika KAZI alizozifanya katika kuwatumikia wananchi, watu Badala ya kumshukuru Mungu, wakaanza kumpa sifa mtu Badala ya Mungu, hili ni jambo baya.
SOLUTION.
1. Ukifanikiwa katika jambo lolote, Sema, Asante Mungu Kwa kunipa utajiri, Ahsante Mungu kunipa watoto wenye AKILI, Sema, Mungu ndiye sababu ya Mimi kujenga nyumba nzuri nk nk nk. Kamwe usijisifu na kujipa utukufu aliopaswa kupewa Mungu.
2. Kemea mara Moja watu wanaokupa sifa zisizokustahili, Mtu akikwambia, wewe ni mzuri sana, Sema, Ni Mungu ndiye aliyeamua niwe hivyo, akikwambia wewe ni daktari Bora kuliko madaktari wote, mjibu kuwa, yote ni Kwa Neema ya Mungu.
Angalizo Isaya 42:8) Mimi ni BWANA, ndilo JINA langu, utukufu wangu sitampa mwingine, Wala sitawapa sanamu sifa zangu.
Mungu awabariki.
Amen