Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

Umeelewa lakini hapo au unakaza fuvu tu na huyo Zeus?
Mbona nimekujibu?

Nimekujibu kuwa Sifa kuu mojawapo ya Mungu, ni uwezo wa kuwapo Mahali pote Kwa wakati mmoja.

Uliza ikiwa hujaelewa.
 
Endelea na huyo yesu kwa MAANA hatuwezi kufika Mimi Na wewe sababu Mimi sio wa hizo Iman za Kristo wala islam
 
Kwanza kabisa ulisema siwezi kurudi.

Nimerudi.

Unakubali umekosea?

Unapokosea, una uwezo wa kukubali kwamba ulikosea?
Jikite kwenye mada.

Thibitisha Kuwa Mungu hayupo,

Tuambieni njia Gani ulitumia kumtafuta ukamkosa Kisha ukathibitisha hayupo.
 
Salaam, Shalom.

Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu.

Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo zilizofupisha uhai wake.

Unakuta mtu anasema, "Mama yangu ndio Kila kitu katika Maisha YANGU", hazipiti siku miezi au miaka michache Mama anaaga Dunia.

Mwingine ana ndugu ambaye amejaliwa moyo wa kheri, anayesaidia ndugu, ukoo na JAMII inayomzunguka, watu Badala ya kumshukuru Mungu, utasikia, " James ndiye tegemeo katika ukoo wetu", Mungu anasahaulika, utukufu anapewa mwanadamu, msilolijua, Kwa kumpa utukufu mtu Badala ya Mungu, mnafupisha uhai wa mnaemsifia.

Marehemu Magu alipofanikiwa Kwa haraka katika KAZI alizozifanya katika kuwatumikia wananchi, watu Badala ya kumshukuru Mungu, wakaanza kumpa sifa mtu Badala ya Mungu, hili ni jambo baya.

SOLUTION.

1. Ukifanikiwa katika jambo lolote, Sema, Asante Mungu Kwa kunipa utajiri, Ahsante Mungu kunipa watoto wenye AKILI, Sema, Mungu ndiye sababu ya Mimi kujenga nyumba nzuri nk nk nk. Kamwe usijisifu na kujipa utukufu aliopaswa kupewa Mungu.

2. Kemea mara Moja watu wanaokupa sifa zisizokustahili, Mtu akikwambia, wewe ni mzuri sana, Sema, Ni Mungu ndiye aliyeamua niwe hivyo, akikwambia wewe ni daktari Bora kuliko madaktari wote, mjibu kuwa, yote ni Kwa Neema ya Mungu.

Angalizo:( Isaya 42:8) Mimi ni BWANA, ndilo JINA langu, utukufu wangu sitampa mwingine, Wala sitawapa sanamu sifa zangu.

Mungu awabariki.

Amen
Aisee ujumbe huu umekonga moyo wangu.Natamani watu wengi wangeusoma ujumbe huu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Endelea na huyo yesu kwa MAANA hatuwezi kufika Mimi Na wewe sababu Mimi sio wa hizo Iman za Kristo wala islam
Jitahidi umwamini Mungu Mmoja Yesu Kristo.

Pumzi ni ya muda tu, usijevunwa ukaonekana huna faida, ukatupwa motoni.
 
KUNA WENGINE YALIYO TUKUTA HATA MADAKTARI HAWAKUELEWA IMEKUWAJE WAJE MAANA DAWA ZA KISAYANSI ZILIGOMA.

WAGANGA NDIO WAKAWA WANAONGEZA TATIZO TU.

MIMI MPAKA KUFA KWANGU NITAAMINI MUNGU YUPO TENA ANAE TENDA KAZI KWA MWANAE YESU.
 
Amwaminiye Yesu, ajapokufa Aishi milele.

Tulishakufa, tukazikwa na tukafufuka pamoja na YESU.

Amen
 
Kipofu lazima atafute.

Lakini aaminiye, anayo macho , hamtafuti Mungu , Mungu yupo naye all the time.
Mungu huyo Aliumbaje binadamu wasio mwamini, ilhali uwezo wa kuumba binadamu watakao mwamini alikuwa nao?

Huoni kazi ya uumbaji ya Mungu huyo ina dosari na kasoro kwa kuumba binadamu wasio mwamini?
 
YANI KUFA TU KWA MWANADAM KUNADHIHILISHA MUNGU YUPO KWANGU MIMI KUFA KWETU WANADAM KUNANIFANYA NIAMINI MUNGU YUPO

KAMA TUNGEKUWA TUNAFANYIKA KWA NATURE TU BASI TUNGEKUWA TUNADUM MILELE KAMA MILIMA

INAMAANA HIYO NATURE WANAYOISEMA WANASAYANSI IKAAMUA IIPENDELEE MILIMA TU.
Unataka Binadamu wasife waishi milele,

Je nafasi ya ku accommodate wanadamu wote walio kuwepo, ambao tupo na wanao endelea kuzaliwa ingekuwepo?

Nafasi ya kuishi ingetosha?

Watu wasingekuwa wanakufa, Dunia hii ingeweza ku accommodate na ku provide huduma zote za chakula na makazi kwa population ya watu wote billions of billions ambao hawafi?
 
Jikite kwenye mada.

Thibitisha Kuwa Mungu hayupo,

Tuambieni njia Gani ulitumia kumtafuta ukamkosa Kisha ukathibitisha hayupo.
Kwanza wewe umekubali kwamba umekosea kusema sitarudi hapa, kwa sababu nimerudi?

Unaweza kukubali pale unapokosea?

Pili, unaelewa hujathibitisha kwamba Mungu yupo kama unavyodai?
 
Mungu huyo Aliumbaje binadamu wasio mwamini, ilhali uwezo wa kuumba binadamu watakao mwamini alikuwa nao?

Huoni kazi ya uumbaji ya Mungu huyo ina dosari na kasoro kwa kuumba binadamu wasio mwamini?
Hiyo ni sifa ingine ya Mungu mkuu,

Hatumii nguvu kuwalazimusha WANADAMU kumwamini au kumfuata Kwa nguvu,

Hata ukimtukana, Bado anabaki kuwa Mungu.

Hata ukisema hayupo, haibadili UKWELI kuwa yupo, na anakupa Pumzi Bure,

Anakumulikia jua Bure na mvua Bure.

Mungu yupo, na sifa zake hagawani na wanadamu.

Amen
 
Jikite kwenye mada.

Thibitisha Kuwa Mungu hayupo,

Tuambieni njia Gani ulitumia kumtafuta ukamkosa Kisha ukathibitisha hayupo.
Unaelewa kwamba wewe kunitaka mimi nithibitishe Mungu yupo ni uthibitisho kwamba Mungu hayupo?

Unaelewa kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, mjadala wa kuthibitisha Mungu yupo au hayupo usingewezekana kufanyika, kwa sababu kila mtu angejua kwamba Mungu yupo, kwa namna ambayo mjadala wa swali la Mungu kuwepo usingewezekana?
 
Jitahidi umwamini Mungu Mmoja Yesu Kristo.

Pumzi ni ya muda tu, usijevunwa ukaonekana huna faida, ukatupwa motoni.
Mkali acha Na hizo stori za Dini naona huziwezi.

Bila Shaka umejaa imani sana Sasa basi muombe huyo yesu aponye wale wagonjwa wa mhimbili au Kwa uwezo wako wa Imani yako mtafute mgonjwa wa akili muombee Kwa huyo yesu wako ili arudi katika akili yake timamu.

Mara nyingi nyinyi mnaojifanya mnaimani sana mnakuwa mnasumbuliwa na maradh ambayo yameshindikana Kwa Dawa Za hospitalini hivyo basi mnaona njia sahihi Ni kurudi katika kanisa au msikiti.

Na Sisi masikini ndio hujifanya tuna Imani Sana kuliko hao waanzilishi wa hizo Dini.
 
Jikite kwenye mada.

Thibitisha Kuwa Mungu hayupo,

Tuambieni njia Gani ulitumia kumtafuta ukamkosa Kisha ukathibitisha hayupo.
Una uwezo wa kusoma kwa ufahamu?

epicurean_paradox.jpg
 
Unaelewa kwamba wewe kunitaka mimi nithibitishe Mungu yupo ni uthibitisho kwamba Mungu hayupo?

Unaelewa kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, mjadala wa kuthibitisha Mungu yupo au hayupo usingewezekana kufanyika, kwa sababu kila mtu angejua kwamba Mungu yupo, kwa namna ambayo mjadala wa swali la Mungu kuwepo usingewezekana?
Huna HOJA,

Umeshindwa kuthibitisha kuwa Mungu hayupo.
 
Hiyo ni sifa ingine ya Mungu mkuu,

Hatumii nguvu kuwalazimusha WANADAMU kumwamini au kumfuata Kwa nguvu,
Kama Mungu mwenyewe halazimishi watu kumwamini na kumfuata?

Wewe unatoa wapi kiherehere cha kutaka kila mtu amtafute na kumwamini?
Hata ukimtukana, Bado anabaki kuwa Mungu.

Hata ukisema hayupo, haibadili UKWELI kuwa yupo, na anakupa Pumzi Bure,

Anakumulikia jua Bure na mvua Bure.

Mungu yupo, na sifa zake hagawani na wanadamu.

Amen
 
Salaam, Shalom.

Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu.

Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo zilizofupisha uhai wake.

Unakuta mtu anasema, "Mama yangu ndio Kila kitu katika Maisha YANGU", hazipiti siku miezi au miaka michache Mama anaaga Dunia.

Mwingine ana ndugu ambaye amejaliwa moyo wa kheri, anayesaidia ndugu, ukoo na JAMII inayomzunguka, watu Badala ya kumshukuru Mungu, utasikia, " James ndiye tegemeo katika ukoo wetu", Mungu anasahaulika, utukufu anapewa mwanadamu, msilolijua, Kwa kumpa utukufu mtu Badala ya Mungu, mnafupisha uhai wa mnaemsifia.

Marehemu Magu alipofanikiwa Kwa haraka katika KAZI alizozifanya katika kuwatumikia wananchi, watu Badala ya kumshukuru Mungu, wakaanza kumpa sifa mtu Badala ya Mungu, hili ni jambo baya.

SOLUTION.

1. Ukifanikiwa katika jambo lolote, Sema, Asante Mungu Kwa kunipa utajiri, Ahsante Mungu kunipa watoto wenye AKILI, Sema, Mungu ndiye sababu ya Mimi kujenga nyumba nzuri nk nk nk. Kamwe usijisifu na kujipa utukufu aliopaswa kupewa Mungu.

2. Kemea mara Moja watu wanaokupa sifa zisizokustahili, Mtu akikwambia, wewe ni mzuri sana, Sema, Ni Mungu ndiye aliyeamua niwe hivyo, akikwambia wewe ni daktari Bora kuliko madaktari wote, mjibu kuwa, yote ni Kwa Neema ya Mungu.

Angalizo:( Isaya 42:8) Mimi ni BWANA, ndilo JINA langu, utukufu wangu sitampa mwingine, Wala sitawapa sanamu sifa zangu.

Mungu awabariki.

Amen
Salaam, Shalom.

Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu.

Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo zilizofupisha uhai wake.

Unakuta mtu anasema, "Mama yangu ndio Kila kitu katika Maisha YANGU", hazipiti siku miezi au miaka michache Mama anaaga Dunia.

Mwingine ana ndugu ambaye amejaliwa moyo wa kheri, anayesaidia ndugu, ukoo na JAMII inayomzunguka, watu Badala ya kumshukuru Mungu, utasikia, " James ndiye tegemeo katika ukoo wetu", Mungu anasahaulika, utukufu anapewa mwanadamu, msilolijua, Kwa kumpa utukufu mtu Badala ya Mungu, mnafupisha uhai wa mnaemsifia.

Marehemu Magu alipofanikiwa Kwa haraka katika KAZI alizozifanya katika kuwatumikia wananchi, watu Badala ya kumshukuru Mungu, wakaanza kumpa sifa mtu Badala ya Mungu, hili ni jambo baya.

SOLUTION.

1. Ukifanikiwa katika jambo lolote, Sema, Asante Mungu Kwa kunipa utajiri, Ahsante Mungu kunipa watoto wenye AKILI, Sema, Mungu ndiye sababu ya Mimi kujenga nyumba nzuri nk nk nk. Kamwe usijisifu na kujipa utukufu aliopaswa kupewa Mungu.

2. Kemea mara Moja watu wanaokupa sifa zisizokustahili, Mtu akikwambia, wewe ni mzuri sana, Sema, Ni Mungu ndiye aliyeamua niwe hivyo, akikwambia wewe ni daktari Bora kuliko madaktari wote, mjibu kuwa, yote ni Kwa Neema ya Mungu.

Angalizo:( Isaya 42:8) Mimi ni BWANA, ndilo JINA langu, utukufu wangu sitampa mwingine, Wala sitawapa sanamu sifa zangu.

Mungu awabariki.

Amen
Huwezi prove Mungu huyo kama yupo,

Kama mimi ni muongo thibitisha hilo.
 
Back
Top Bottom