Andrew Chenge: Jersey bank account in spotlight

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
By Dolores Cowburn

A JERSEY bank account owned by a former Tanzanian minister could be investigated by the Serious Fraud Office, following the announcement of plans to prosecute British Aerospace.

A statement released by the SFO yesterday said that it intended to seek the UK Attorney General’s consent to prosecute in relation to alleged overseas corruption.

It follows the investigation carried out by the SFO into the business activities of BAE Systems in Africa and Eastern Europe.

It is understood that Tanzania’s former infrastructure minister, Andrew Chenge, had £504,000 in a Jersey account that allegedly came from BAE. Mr Chenge was the poverty-stricken country’s infrastructure minister when it bought a £28 million radar system from BAE.

Jersey authorities, including the Jersey Financial Services Commission and the Joint Financial Crimes Unit, have previously refused to comment on the subject.
 
Nadhani tutaona jeuri ya 'Vijisenti' kama itafanya kazi yake kikamilifu mbele za SFO.

Achana na PCCB ya Tanzania inayofanya kazi ya kuwalinda wezi wa mali zetu na kusahau kuwa taifa hili ni letu na kuna siku tutalitia mikononi wenyewe! Soon, very soon...
 
Wamuachie tu hela "zake".. Mbona wana CCM wenyewe wamemkumbatia kwenye chama chao? Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...
 
By Dolores Cowburn

It is understood that Tanzania’s former infrastructure minister, Andrew Chenge, had £504,000 in a Jersey account that allegedly came from BAE. Mr Chenge was the poverty-stricken country’s infrastructure minister when it bought a £28 million radar system from BAE.

.

Look at this; it is well known that our country is poverty-stricken. However, same people colluded with our leaders to grab our money. May God punish all, our leaders, BAE officials and British politicians who supported the deal.

Njimba
 
Wamuachie tu hela "zake".. Mbona wana CCM wenyewe wamemkumbatia kwenye chama chao? Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...

Pale wote wanapigania madaraka tu ili warudi bungeni, sidhani kama kweli wanapigania haki za walio wengi. Aliyekuwa mpinga ufisadi ni Marehemu kolimba tu ndani ya CCM, hawa wengine ni kutuzuga tu.
 
Wamuachie tu hela "zake".. Mbona wana CCM wenyewe wamemkumbatia kwenye chama chao? Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...
Wakati nasoma ujumbe wako nimekuta natokwa na machozi pia.

Tanzania inaudhi SANA yani, wakti mwingine unashindwa kuelewa jamaa zetu wanafikiria nini vichwani mwao.

Hana hatia mpaka ithibitishwe...!

Lakini kuna kitu nafikiria kichwani mpaka nachoka, kama huyu ndo alikuwa Mwanasheria wetu mkuu na pia waziri, vipi wakichunguzwa wengine ambao wamo ndani ya chama chetu 'tukufu' ambao huenda hawajui sheria zinasemaje juu ya mambo haya watakutwa wakoje?

Kuna usanii naona wameuanza ambao kila mmoja anajifanya 'anapinga ufisadi' na nazidi kuishiwa maana watanznaia wanaonekana kuwaamini bila kujua kuwa ni gia za 2010!
 
Nadhani tutaona jeuri ya 'Vijisenti' kama itafanya kazi yake kikamilifu mbele za SFO.

Achana na PCCB ya Tanzania inayofanya kazi ya kuwalinda wezi wa mali zetu na kusahau kuwa taifa hili ni letu na kuna siku tutalitia mikononi wenyewe! Soon, very soon...

Hakuna idara iliyo kithiri kwa rushwa kama PCCB kwa sasa, tena wao wanachukua rushwa wazi wazi wakijua hakuna wa kuwagusa.
 
Look at this; it is well known that our country is poverty-stricken. However, same people colluded with our leaders to grab our money. May God punish all, our leaders, BAE officials and British politicians who supported the deal.

Njimba

wanajitahidi kujisafisha, no any action will be taken, belive me,

Wamuachie tu hela "zake".. Mbona wana CCM wenyewe wamemkumbatia kwenye chama chao? Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...

Kauli yako inaongeza hasira yangu juu ya hawa wanaojiita wapiganaji , akina Mwakyembe, we should real think critically the credibility and authenticity of their words!

FMES anatakiwa ajiulize maswali kama haya, kabla ya kuwapongeza wapiganaji ndani ya CCM
 
Now we're heading to somewhere!

Jambo zuri nikuwa tunazikusanya facts....lakini tusitegemee chochote kufanyika dhidi ya Mzee wa vijisenti.....sana sana ni usanii kama unavyoendelea kwa akina Mramba............
 
Jambo zuri nikuwa tunazikusanya facts....lakini tusitegemee chochote kufanyika dhidi ya Mzee wa vijisenti.....sana sana ni usanii kama unavyoendelea kwa akina Mramba............
Ingekuwa anayeshughulikia kesi hiyo ni Feleshi na wezake kina Hosea basi ujue ukweli ungepindishwa... Mkuu SFO wakifanya tunayoyaona Bongo basi nitaamini hakuna haki duniani...

Akiwa msafi na wamsafishe! Akipatikana na uchafu na wampakaze uchafu wake...!
 
Hivi ni kosa kuomba msaada toka nchi nyingine kama vile UK, waongoze PCCB at least for 5yrs? Nionavyo mimi kwa uwezo (ufahamu) wa watalaam wetu na uoga wa kuthubutu PCCB haiwezi kuwakamata mapapa wa ufisadi. Ukifikiria issue ya Kagoda, Richmond, yule mzungu wa rada na akina Chenge, ni ushahidi tosha kwamba PCCB ovyo.
 
Nemesis,

Kwani unafikiri tatizo ni uwezo? Nafikiri tatizo ni kukosa dhamira ya wazi kutoka kwa wale waliokabidhiwa madaraka. Sheria zetu zina sura na watekelezaji wa hizo sheria huwa wanaangalia kwanza rais anasemaje au mhusika ni nani kabla ya kutekeleza sheria.

Leo JK akiwaita na kuwaambia wenye makosa wapelekwe mahakamani; hata mwezi hautaishi hizo cases zote zitakuwa mahakamani.

Bila uongozi wa haki na sheria tusahau hayo wanayofanya wenzetu.
 
Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi....Jamaa vielelezo vyote hadi hiyo a/c inamnyooshea kidole, vilaza wetu ((((( sorry, viongozi wetu))))) kimyaaa!, na lijamaa bado linatesa!! Yaani sijui niseme nini, nimeudhika sana.

Sijui Tanzania ililaaniwa na nani, yaani nashindwa hata kuelewa hao wanaoiongoza wanalalaje usiku.
 
Last edited:
Ndani ya Tanzania kuna tabaka lisiloguswa na sheria. Wataiba, wataua na kufanya machafu yote lakini bado wataachwa bila ya kuchukuliwa hatua yeyote.

Lakini kwa watu wengine akina tia mchuzi pangu pakavu ukiiba kuku ama kushikwa na msokoto wa bangi basi cha moto utakiona, kwani hapo ndipo sheria itakapofanya kazi yake.
 
Back
Top Bottom