Andika Jina Lako Kijapani

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
dg3r80.jpg
 
Mekimemeikuchiku...?

Dhaifu = Terikakiludo

Do u think japanise wataelewa kitu uliyoandika hapa?
Unadhani neno la kiswaili linaweza kuwa na maana sawa na la kijapani?

Amini usiamini unatengeneza lugha mpya hapa.
 
Sielewshi Wajapani wanaojua Lugha yao Heading inasema Andika Jina Lako Kijapani... Mbona Unaleta Upinzani pasipo na upinzani yaelekea hata kwenu wakija wageni huwa Unabishana nao... Punguza Ubishi uishi na Watu Vizuri Mr. KIRINKATOFU
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Majina ya kijapani majority yake yatakua matusi kwa kisw labda turuhusu uhamishe huu uzi tukayaandikie kule jukwaa la mwisho.
 
Usi ishi kwa hisia... hapo hakuna hata herufi za matusi yetu kama nge au ma au u au se au fi na aina ya herufi zetu za Matusi... Punguza Kashfa...
 
Kiswahili kumbe bado bidhaa adimu sana!
Hebu thibitisha kashfa katika comment yangu! Nimekashifu wapi? Au omba ushauri kwa wadau wakufafanulie vizuri uelewe maana ya neno "kashfa" sina hakika kama unalifahamu vizuri.
Th's kurupuko unnecessarily!
 
Sio kila thread uchangie tu hata ukiwa umejaa mapumba kichwani mbona sometime wengi hutizama tu na kupita kama hatovutiwa na thread kuliko kuanza na kujifanya Mod ... uutoe huu uzi uhamie jukwaa la mwisho ... hiyo huoni kama ni kashwa kwa mwenye thread... ok nikuache kama kwa muono wako waona si kashfa basi samahani humu jf tunaelimishana zaidi
...

Kujifunza na kufundisha wengine ndio maendeleo Bwana Waziri Kasema...
 
Muheshimiwa !
Open your mind set, our attitude being different at all .
That's you talk are worthless material !
Unakubali conceptions or changin' ideas , recommendation ni kitu kipo!
Eventualy unashauriwa hii fanya hivi unasema KASHFA
Kaazi kwelikweli !
Mie hata ukiniambia kukushauri kuhamisha thrade ndiyo nimekukashifu nitakuona uko low vision!
Na kisw ni tatizo kwako.
Mi naweza na kua na pumba kichwani kama unavyodai hilo halinikwazi aslani, but wewe nahisi chako kitakua kipo wazi an bare pitch!
You just avoid inferiority! Utafanana na macho ya Nazi are they 3 bt meaningless.
Mahala pasipokua na ngoma unapandwaje na mzuka wa shetani?
 
Naona Unawashwa hadi kwenye Mgongo wako huo unaouonesha... Chizi akichukua Taulo lako bafuni usimkimbize wacha nikuache nisije onekana chizi kama wewe Bafflesho...
 
Naona uko makini sana na shughuli zako!
Una uzoefu wa kuelewa maeneo ya mwanaume muda gani yawasha! Ni kweli sasa unanisaidiaje mazimuzi ? Au fanya hivi , hapa mimacho mingi tuhamie Pm , mi sikuachi mpaka nizimue ndo uchizi uliyonipa utaisha. Nipm Mtaalaam wa kijapani as know as Duduwasha hutowashwa tena!
I'm expect to declare my new constitueny soon!
 
Back
Top Bottom