Andika jambo lolote linalokutia hofu

Maradhi! Sipendi kuumwa, naona ni mateso mno! Unaenda hospital unakuta mtu kwa Mungu hayupo na duniani hayupo, kupoteza fahamu kule kupo kama kuzimia si kuzimia yaan daaah!! Mipira kila tundu!?

Bora kufa ghafla lakini kuumwa no!!
 
I'm scared of being old and Broke..Bongo lazima uitwe mchawi..
images%20(2).jpeg


#Muungwana_John
 
Back
Top Bottom