Andika ID yako kwa tamaduni ya croatia

Andika ID yako kwa tamaduni ya croatia

Worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,933
Reaction score
3,777
Wacroatia 🇭🇷 wanatamaduni ya kumalizia majina yao na "ic" mfano
Modric
Mandzukic
Olic

Je, wewe mwana JF ungezaliwa croatia ID yako ingeandikwaje?
Mimi naanza "worldbossic"
 
Wacroatia [emoji1082] wanatamaduni ya kumalizia majina yao na "ic" mfano
Modric
Mandzukic
Olic

Je, wewe mwana JF ungezaliwa croatia ID yako ingeandikwaje?
Mimi naanza "worldbossic"
Vipi engineer wa NASA????!!!!!!! Mbuzi.
 
jiwevic, wakujimbafaivic,sijaribiwitic, hatujiandishivic, tumechoka na malaya wa kisiasatic, unampigia kula baadae anahama chama anaunga juhudi za jiwe upuuzivic! mtoa mada kama nimeenda kinyume na mada husika utajijua mwenyewtic.
 
Wacroatia 🇭🇷 wanatamaduni ya kumalizia majina yao na "ic" mfano
Modric
Mandzukic
Olic

Je, wewe mwana JF ungezaliwa croatia ID yako ingeandikwaje?
Mimi naanza "worldbossic"


Wewe kwanini uende kote huko kufuata tamaduni za wageni??, kwanini ushichukue tamaduni za hapa hapa Bongo??, angalia Wanyakyusa, Mwa katobe, Mwa kalibule, "Mwa" imetawala, pia watu wa Tanga kuna She msanga, She mahonge, She kilango, she tani, she meji nk, "She" zimetawala.

Sasa jina lako lingekuwa Mwaworldboss au Sheworldboss.🤣

Penda chako, chako ni chako japo kibaya, kimfaacho mtu chake. Chamtu mavi.
 
Back
Top Bottom