Andika chochote, nikubishie au ubishiwe na kupingwa

Wabongo hawapendi kazi na kufanya mambo magumu ndio maana jf nyuzi za kijinga jinga kama hizo ndizo zina views nyingi.
nabisha.
viewers ndio wanaingizia fedha JF.
wakipata fedha wanaajiri watu, wanalipa mishahara.
Hivyo nafanya kazi ya kiwafanya wengine wapate kazi.

hata wewe umeshiriki kazi hiyo.
 
Wew ni shoga
kumbe '' wewe '' ni shoga?????? pole sana mkuu sikubishii.πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…