Babe ila umekaa mda mrefu huko ibadani..........
ni ibada kweli au kuna mengine yalikua yanaendelea
There are currently 2 users browsing
this thread. (2 members and 0
guests)
Baba V , Lady doctor
Shwarii...kiwowowoooooo .
Kwa hisani ya Erickb52
Walikuwa wanasali na Vin Diesel..
shwari ndugu mwenyekiti
halafu nitakusemea sasahivi!
Nimeshindaaaaaaaaaaaaaaa
na ukongwe wote huo....
Chunia best... sirudii tena, najua yule Mangi ana hasira sana kipindi hiki tangu wabane biashara ya sembe na ganja..
hilo c la kuuliza shemasante kwa ujumbe. tumeshaonana. vipi utakuja kwenye harusi yangu na Heaven on earth? karibu sana. mia
mmmmmmmh!!!! NIMEKOMAuwezo wangu wa lugha umeshuka sana..so sijakuelewa mpendwa
na ukongwe wote huo....
Nani kakwambia mkongwe hawi miss
Tatizo ni ngumbaru au..!?? afu umeskia program mpya ya kwenda JKT..!??
Filipo unataka kunikagua...........Huyo mpenzi wako amekaguliwa!?
Kuna mtu yeyote kanitaja humu?
Chapchap sana akam this wei.
mie ten best!!! kukosa kuja haiwezi tokea