mwalilawola
Member
- Nov 15, 2013
- 18
- 6
Hey wanajamii kama mjuavyo kila kona ya nchi wafanyabiashara wanagomea matumizi ya mashine za efd utafiti wangu mdogo unaonyesha hakuna mtu anayewatuma ila mambo yafuatayo
1: matumizi mabaya ya kodi inayokusanywa
2: maisha mazuri ya maafisa wa tra
3: bei kubwa ya mashine hizo
4: ukosefu wa elimu ya kutosha
5: ushirikina maana chuma ulete haitaki mashine au mashariti ya wajanga
My take:
Mashine zitolewe bure ili wakose kisingizio