Anayewahamasisha wafanyabiashara huyu hapa

Anayewahamasisha wafanyabiashara huyu hapa

Kwani kodi ina faida gani kwa sasa.ningekuwa na uwezo ningeuza mashine za kukwepesha kodi mpaka utawala wenye uchungu na nchi utakapopatikana.ila kwa sasa wafanysbiashara wakikataa ni sawa tu.
 
Wao hawatoi point (sababu) unazozitoa esp hiyo ya kwanza, wanatoa hizo zingine, serikali kama inaweza kuzigharamia zote sawa wapewe bure maana hela itarudi kupitia kodi na kama inashindikana basi bei ipunguzwe na elim zaidi itolewe kwa wafanyabiashara.

Hizo mashine ni kamradi cha mtu, ukisema serikali izitoe bure ni kama kuharibu mingo ya mtu
 
Back
Top Bottom