Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
dokta kiboko..mambo ya 1982 anayaibua 2013 tena wazi wazi bila aibu..imagine!
halafu aliyefaya hhvyo ni baba ake edo ! Jamaa ana kisasi balaa!!
dokta kiboko..mambo ya 1982 anayaibua 2013 tena wazi wazi bila aibu..imagine!
sasa katika post hii hauafiki nini?
I like him, jamaa ana intelligent nzuri sana ya analysis.
Edo said:
Ni kweli. Tumekosa dira kama taifa. Hatujui tulipo wala tunapokwenda. Kabla haujamlaumu mwenzako jiulize, wewe unaifanyia nini nchi yako. je wewe Sekta yako ina maendeleo yanayostahili kabla ya kumnyooshea kidole mwingine?
Huwa nawaza sana.
Tanzania tunafahamu nini zaidi? Tumepatia wapi hadi tuseme mpira ni tatizo sana? wasomi na wananchi wa kawaida tuanze kuitafakari nchi kwa pamoja. Tusitafakari kwa mapande mapande. Tuna tatizo kila sehemu. Nani hajawahi kulaumiwa au kulaumu? Kila mtu tatizo nchi hii
Yani mods mmemsikiliza yule zezeta mmeleta uzi huku badala ubaki kule siasani au mchanganyiko?
Chanda mambo vipi bna, file mbona limekwama
Utakuta hata si ya kwake kaazima kwa mtu...!
Sasa ndo nini hivyo?Eddo Kumwembe haswaa simpendi kwa ukosefu wake wa adabu, 5/julay 1982 mjili lindi mtaa wa kawawa, tuko chobingo tunasubiri wahindi watoke jamatini ili mhindi mmjawapo rafiki yetu atuonyeshe mkanda wa mechi kati ya Brazil na Argentina world cup ya mwaka 1982, mechi iliyochezwa 2Julay 1982 ambayo Brazil iliibuka mshindi kwa bao 3-1.
Enzi hizo wajanja tulikuwa tunajipendekeza kwa wahindi ambao walikuwa na video kwenye jamatini zao walikwa na kanda za world cup lizokuwa zinatoka tv of Zambia kwa kutumia yale mamikanda makubwa kama mikate
Tulikuwa mimi wakati huo nasoma chuo kikuu nilienda Lindi kufanya field work Sokoine regional Hospital pia alikuwepo Advovate Kumwembe ambae nahisi ndiye baba yake Eddo Kumwembe aliyekuwa anaishi Ligula Mtwara alikwenda Lindi kwa shughuri zake za kiuwakili na rafiki yetu Sengwaji aliyekuwa anafanya kazi Tanesco Lindi katika mechi hiyo alikuwepo Yule gwiji wa kabumbu wa kizazi cha kati Diego Maradonna
Ilikuwa hivi Sengwaji alilopoka eti Maradonna ni zaidi Pele Advocate Kumwembe aling`aka na kumwamba aache kumlinganisha pele na Maradonna kwa sababu Maradonna hamfikanii pele hata kwa nusu.
Mala nyingi nimeona katika articles zake nyingi huyu Dogo Kumwembe anamponda Pele mbele ya Maradonna wakati sisi Pele tumemwona na Maradonna tumemwona watu hawa hawalinganishiki
Kwa hiyo kuanzia hapo huwa nimwamwona dogo huyu hana nidhamu kwa hiyo kila anachosema huwa siafiki.
hhaah! MA-CCM wanamajibu hapa,
wansema TUMEJARIBU, TUMEWEZA, TUNASONGA MBELE
Popote hii makala itakapowekwa ni mwafaka kabisa!Ni uchambuzi uliotukuka, anayechukia ameguswa kinamna na ndo lengo lake haswaa!Big up EdoMods ondoa ujinga huu! This is a political forum and not otherwise!