Anayeuza meno ya Tembo anapomlaumu Ngassa!

Muda si mrefu Eddo,utaambia ww ni Cdm au Cdm imekutuma,hapo ndio nchi ilipofikia.Kiongozi mwizi,mla rushwa na asiyewajibika kwa kuwa tu anautajiri wananchi tunamsifia kuwa jamaa ni mjanja
 
hili taifa kila mmoja halizishwi na namna livyoongozwa na kustawishwa.....tatizo tunaishia kulalamika na kunung'unika....hatuna cha zaidi....thread kama hii imekuja na itapita na nyingine zitakuja zitapita, ya tembo yatakuja na yatapita, ya kapuya yatakuja na yatapita.........kama siku moja tukijaribu kuonyesha mfano kuwa tumechoshwa kwa kuchukua hatua kama wafaransa kipindi kile walipomfurusha mfalme wao......NAWAAMBIENI WATAWALA WATAOFUATA WOTE WATAKUWA NA NIDHAMU MAANA WATAJUA KUWA TUNA UWEZO WA KUWAADABISHA LAKINI SIYO SASA AMBAPO VIONGOZI WANAFANYA WANAVYOTAKA KWA SABABU WANAJUA HATUNA CHA KUWAFANYA
 
Eddo Kumwembe haswaa simpendi kwa ukosefu wake wa adabu, 5/julay 1982 mjili lindi mtaa wa kawawa, tuko chobingo tunasubiri wahindi watoke jamatini ili mhindi mmjawapo rafiki yetu atuonyeshe mkanda wa mechi kati ya Brazil na Argentina world cup ya mwaka 1982, mechi iliyochezwa 2Julay 1982 ambayo Brazil iliibuka mshindi kwa bao 3-1.
Enzi hizo wajanja tulikuwa tunajipendekeza kwa wahindi ambao walikuwa na video kwenye jamatini zao walikwa na kanda za world cup lizokuwa zinatoka tv of Zambia kwa kutumia yale mamikanda makubwa kama mikate
Tulikuwa mimi wakati huo nasoma chuo kikuu nilienda Lindi kufanya field work Sokoine regional Hospital pia alikuwepo Advovate Kumwembe ambae nahisi ndiye baba yake Eddo Kumwembe aliyekuwa anaishi Ligula Mtwara alikwenda Lindi kwa shughuri zake za kiuwakili na rafiki yetu Sengwaji aliyekuwa anafanya kazi Tanesco Lindi katika mechi hiyo alikuwepo Yule gwiji wa kabumbu wa kizazi cha kati Diego Maradonna
Ilikuwa hivi Sengwaji alilopoka eti Maradonna ni zaidi Pele Advocate Kumwembe aling`aka na kumwamba aache kumlinganisha pele na Maradonna kwa sababu Maradonna hamfikanii pele hata kwa nusu.
Mala nyingi nimeona katika articles zake nyingi huyu Dogo Kumwembe anamponda Pele mbele ya Maradonna wakati sisi Pele tumemwona na Maradonna tumemwona watu hawa hawalinganishiki
Kwa hiyo kuanzia hapo huwa nimwamwona dogo huyu hana nidhamu kwa hiyo kila anachosema huwa siafiki.
 
mambo mengine bhana..kaazi kweli kweli
 
article nzuri sana hii!!ina maana pana kua tuko nyuma kila upande hata ule ambao unatuhusu moja kwa moja!!
 
Ningekuwa mimi ndio wewe ningefuta post hii kulinda heshima yangu

Nina wasiwasi pengine umeona tu imeandikwa na Edo ukajua hii ni michezo tu basi
Take time broda read between the lines utapata ujumbe mkubwa mno ulioendana na uandishi simulizi wa kuvutia

Muhongo akiwambia wavivu wa kufikiri mnasema kawatukana. Hata kama ni siasa katumia mpira wa miguu kutoa maoni yake. Ukifikiri sana, ni mada gani isiyokuwa na siasa ndani yake. Mfano mdogo ni kusimamishwa kwa Rage. Ni masuala ya mpira lkn siasa imejaa ndani yake.
Edi kafanya vizuri sana
 
:A S-confused1:

Naanza kufanya vyema ktk lile langu kwanza na kuacha kulaumu kitu ambacho sina utaaluma nacho.
 
Mods ondoa ujinga huu! This is a political forum and not otherwise!

wewe usie tafakari threat ndio mjinga huo uzi unamaana sana kama utausoma wote na kuuelewa ni kweli watanzania tumezidi kulaumiana na kuacha kufikiria jinsi ya kukuza uchumi wetu .
 
Asante baba kwa kutufumbua macho. Nafikiri suluhisho ni tutafute mtu anunue nchi hii pesa itakayopatikana tugawane watanzania wote halafu kila mtu atafute pa kwenda AU Wewe unaona ni bora tulianzishe kama Burundi na Rwanda?
 
Yani mods mmemsikiliza yule zezeta mmeleta uzi huku badala ubaki kule siasani au mchanganyiko?
 
Mods ondoa ujinga huu! This is a political forum and not otherwise![/QUO
habariyamujini wewe unaonekana ni miongoni mwa wavivu wa kufikiri au kusoma! makala hii ni nzuri sana na kwa kifupi imegusa madhara katika maisha ya watanzania yanayoletwa na wanasiasa!! focus ikiwa ni lawama kwa timu zetu sinpofanya vibaya michezoni. Kwako wewe inaonekana habari ya kisiasa lazima itaje CCM au CHADEMA? Acha uvivu wa kufikiri utaishia kutawaliwa kiimani!! jipange.

nashukuru muarubaini mchungu kwa kumuelimisha huyu kijana roho inaniuma sana vijana wa tanzania kusoma habari nusu nusu na kuanza kucoment ujinga
 
Ukweli hii article ya Edo Kumwembe nimeipenda sana aisee mpaka nikaileta hapa.
Yaani bila siasa za ushabiki, article imegusa maswala ya ufisadi but katika effect kwenye michezo zaidi. Tuseme alikua anataka kuorodhesha ufisadi mbalimbali lakini kwa kuhusianisha na michezo, hii tu inampa credit kua kumbe madhara ya ufisadi hayapo katika uchumi tu moja kwa moja, bali pia nyanja zingine idirectly.

Nimehisi kua pamoja na kua amebobea katika Masuala ya Uchambuzi wa Michezo, ila ni Mzima katika Mfuatiliaji wa Siasa zetu pia, na ndio vichwa mbavyo pengine Bunge lijalo lingefaa liwe navyo.
 
Sisi ni wakali katika BBA (Big Brother Africa)

Silaumu ila..Inasikitisha..
 
Eddo Kumwembe haswaa simpendi kwa ukosefu wake wa adabu, 5/julay 1982 mjili lindi mtaa wa kawawa, tuko chobingo tunasubiri wahindi watoke jamatini ili mhindi mmjawapo rafiki yetu atuonyeshe mkanda wa mechi kati ya Brazil na Argentina world cup ya mwaka 1982, mechi iliyochezwa 2Julay 1982 ambayo Brazil iliibuka mshindi kwa bao 3-1.
Enzi hizo wajanja tulikuwa tunajipendekeza kwa wahindi ambao walikuwa na video kwenye jamatini zao walikwa na kanda za world cup lizokuwa zinatoka tv of Zambia kwa kutumia yale mamikanda makubwa kama mikate
Tulikuwa mimi wakati huo nasoma chuo kikuu nilienda Lindi kufanya field work Sokoine regional Hospital pia alikuwepo Advovate Kumwembe ambae nahisi ndiye baba yake Eddo Kumwembe aliyekuwa anaishi Ligula Mtwara alikwenda Lindi kwa shughuri zake za kiuwakili na rafiki yetu Sengwaji aliyekuwa anafanya kazi Tanesco Lindi katika mechi hiyo alikuwepo Yule gwiji wa kabumbu wa kizazi cha kati Diego Maradonna
Ilikuwa hivi Sengwaji alilopoka eti Maradonna ni zaidi Pele Advocate Kumwembe aling`aka na kumwamba aache kumlinganisha pele na Maradonna kwa sababu Maradonna hamfikanii pele hata kwa nusu.
Mala nyingi nimeona katika articles zake nyingi huyu Dogo Kumwembe anamponda Pele mbele ya Maradonna wakati sisi Pele tumemwona na Maradonna tumemwona watu hawa hawalinganishiki
Kwa hiyo kuanzia hapo huwa nimwamwona dogo huyu hana nidhamu kwa hiyo kila anachosema huwa siafiki.

Sasa katika post hii hauafiki nini?
 
Makala nzuri sana hongera sana Edo. Mfumo wa Top-down umeshindwa kabisa kumkomboa mwananchi kilichobaki ni kutumia mfumo down-top km M4C
 
Back
Top Bottom