chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,400
- 4,392
nadhani ifike mahala watanzania tujitathimin upya tuipiganie nchi hii nimependa article yako eddo mfano tuu kiongozi mkubwa tu anasema Tanzania ni kichwa cha mwenda wazimu kimichezo amesahau kwamba Tanzania hiyohiyo anayoiongoza nayo kwa ujumla ni kichwa cha mwenda wazimu kwan kila kitu ki hali dhohofu mfano mdogo tu watu wengi hata jamii forums humu wapo wategemea kama gesi ya mtwara itatusaidia jiulize swali dogo tu ni lin viongoz wetu wamekuwa watakatifu mpaka amthamin mtanzania ili afaidike ktk gesi tumeshindwa ktk madini,,mbuga bandari usafiri nk. tutaweza ktk gesi miujiza gan hiyo.Tumeshindwa kuwa na shirika letu la ndege kisa viongozi watoa maamuzi wanahisa ktk mashirika mengine anaogopa shirika lake litakosa wateja.Mara nyingi ukikuta mtu anaponda article kama hiyo usimhurumie kwamba labda hana akili ujue anafaidika sana na mfumo uliopo