Anayeuza meno ya Tembo anapomlaumu Ngassa!

Anayeuza meno ya Tembo anapomlaumu Ngassa!

Kumbe Edo naye ni CHADEMA?? Hakuna mCCM anayeweza kuwa na fikra chanya kama hizo!!
 
Http//:
C:\DOCUME~1\Chanda\LOCALS~1\Temp\msohtml1\01\clip_image001.jpg
 
Rais naye hajui kwa nini Nchi ni maskini... hhahahahahhahhahhaaaaaaa Tz bhana
 
nenge imebana huna ngama cjui utaenda wap kuungama kwa lowasa au mengi
 
Well said edo kUMWEMBE
 
Last edited by a moderator:
Yani we we izo no chuki za kuku dhidi ya mwewe una jipya pia kaji funze kuandika Alfa bet
 
Edo kafunguka vizuri sana.tatizo hakuna mwenye maamuz ya mwisho hadi mkuu wa nchi analalamika tu.
 
Edo ni mkali sijawai kukosa makala zake hasa Jumamosi kwenye mwana sports. ..kazi nzuri sana edo.!!
 
Back
Top Bottom