Anayeshambuliwa siyo Tundu Lisu bali kinashambuliwa “ Kibali” kilicho ndani yake, ilifanyika kwa Yusuf na Daudi pia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,521
Chawa ndio watahangaika na ama ule wanaoita Uropokaji wa Tundu Lisu ama u much know wake lakini katika dunia ya Leadership hivyo ni vitu vidogo sana

Wanaomshambulia Tundu Lisu wanapiga Vita Kibali alichonacho kwa sababu Werevu wa dunia hii huiangalia zaidi kesho yao na siyo Jana

Ninajua Lisu siyo aina ya Kiongozi ambaye hata Trump au Putin angetamani kufanya naye Kazi lakini hiyo haiondoi Ukweli kwamba Tundu Lisu ana KIBALI

Ahsanteni sana 🙏✔️
 
Du...wewe tena wa damu ya kijani?
Kweli upepo unageuka!
 
Psmoja na kunywa Pombe za kienyeji kuna muda unakuwaga na akili sana
😂😂😂😂
Amevumulia moyoni mwishowe nayeye ametamani kiongozi wake awe Lisu.

Hata Samia mwenyewe anatamani Lisu (Simba wa Kizimkazi) awe kiongozi wake ni basi tu wahuni wamempiga pin.
 
Chawa ndio watahangaika na ama ule wanaoita Uropokaji wa Tundu Lisu ama u much know wake lakini katika dunia ya Leadership hivyo ni vitu vidogo sana

Wanaomshambulia Tundu Lisu wanapiga Vita Kibali alichonacho kwa sababu Werevu wa dunia hii huiangalia zaidi kesho yao na siyo Jana

Ninajua Lisu siyo aina ya Kiongozi ambaye hata Trump au Putin angetamani kufanya naye Kazi lakini hiyo haiondoi Ukweli kwamba Tundu Lisu ana KIBALI

Ahsanteni sana 🙏✔️
Yusuph aliishia kuwa Waziri Mkuu katika nchi ya utumwa ya Misri, na Daudi aliishia kuwa mfalme mkuu sana. Tunasoma zaburi zake mpaka leo. Lisu naye ana destiny yake
 
Chawa ndio watahangaika na ama ule wanaoita Uropokaji wa Tundu Lisu ama u much know wake lakini katika dunia ya Leadership hivyo ni vitu vidogo sana

Wanaomshambulia Tundu Lisu wanapiga Vita Kibali alichonacho kwa sababu Werevu wa dunia hii huiangalia zaidi kesho yao na siyo Jana

Ninajua Lisu siyo aina ya Kiongozi ambaye hata Trump au Putin angetamani kufanya naye Kazi lakini hiyo haiondoi Ukweli kwamba Tundu Lisu ana KIBALI

Ahsanteni sana 🙏✔️
Hebu kaa sawa maana hueleweki wewe kiumbe
 
kibali cha ukibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na uropokaji ni laana machoni pa Mungu gentleman 🐒
 
Chawa ndio watahangaika na ama ule wanaoita Uropokaji wa Tundu Lisu ama u much know wake lakini katika dunia ya Leadership hivyo ni vitu vidogo sana

Wanaomshambulia Tundu Lisu wanapiga Vita Kibali alichonacho kwa sababu Werevu wa dunia hii huiangalia zaidi kesho yao na siyo Jana

Ninajua Lisu siyo aina ya Kiongozi ambaye hata Trump au Putin angetamani kufanya naye Kazi lakini hiyo haiondoi Ukweli kwamba Tundu Lisu ana KIBALI

Ahsanteni sana 🙏✔️
MamaSamia2025 ni shetani
 
Nasema toka moyoni jitahid fanya maombi na kufunga ili pepo la unafiki likutoke!!!
 
Back
Top Bottom