Anayepafahamu Sikonge, Tabora anijuze

Anayepafahamu Sikonge, Tabora anijuze

Nilienda huko mwezi wa 2, ni pabaya hatari kuna maji ya chumvi ukioga kama ya bahari.
 

Attachments

  • 20180310_085131.jpeg
    20180310_085131.jpeg
    135.3 KB · Views: 32
Nakubaliana na wewe asilimia mia moja100%..USITHUBUTU KUOA SIKONGE. WANAJIFANYAGA WAPOLE WASTAARABU ILA NI WACHAWI BALAA!
Koma ukomae, kama msusa wa maharage. Tukomeee!!!!
 
Nilikua na demu wa kinyamwezi kutoka Sikonge na bado yupo sikonge huko
 
Hamna kitu kama hicho Sikonge. Jipange upya Mkuu... Wewe una chumvi nyingine unakunywa Sikonge hehehehee!!!
Pale milambo palikuwa na kisima kilikuwa na maji chumvi.
Siku maji yakikatika lazima tufulie sabuni ya unga tu
 
Pale milambo palikuwa na kisima kilikuwa na maji chumvi.
Siku maji yakikatika lazima tufulie sabuni ya unga tu
Hakuna Milambo Sikonge. Wewe utakuwa unaongelea Tabora mjini.
 
Back
Top Bottom