Anayepafahamu Sikonge, Tabora anijuze

Anayepafahamu Sikonge, Tabora anijuze

Sikonge iko Umbali wa Kilomita takribani 65 kutoka Tabora Mjini Barabara ya Tabora Ipole/Mpanda/Mbeya. Ni mji mkongwe ambao Waaarabu wameushika sana na hivyo usishangae kugika pale ukakuta dereva bodaboda kaoa Mtoto wa Kiarabu. Wanajishugulisha na Kilimo zaidi na Ufugaji. Kuku wapo kwa wingi na Nyama choma kibao.
Hahahaaaa kwa hiyo watoto shombeshombe wengi pale?
Mi nimesoma milambo nimeishia tabora mjini basi
 
Wameshaleta VIFAA tayari kwa ajili ya ujenzi wa Barabara ya LAMI.

Lami imefika Mto Wala/ Kijiji cha Pangale. Sasa wanaivuta hadi ifike SIKONGE kabisa.

Mashine zipo Mkolani karibu na Mlogoro. Ukitoka hapo unafika Ikulu kwa Lugusha na ukipanda kimlima basi umefika Sikonge HQ na mwisho Sikonge Bus Stand na Madukani.
Naomba unisaidie kujua hayo mapori huko yanawanufaishaje wananchi wa hapo sikonge tofauti na asali kaka naona wewe ni mwenyeji sana pande hiyo.
 
Ukisikia wanawake wakinyawezi washirikina, wanyamwezi wachawi uko ndio kwenyewe sasa.
Nakubaliana na wewe asilimia mia moja100%..USITHUBUTU KUOA SIKONGE. WANAJIFANYAGA WAPOLE WASTAARABU ILA NI WACHAWI BALAA!
 
Wenyeji ni wakarimu by nature.

Ni mkoa ambao wenyeji wake ni wakarimu mno; hawahoji kitu na ni wana CCM kufa kupona. Pamoja na uamindifu wao kwa CCM miaka nenda rudi tangu TANU ya late Mwalimu wakazi hawa wanaishi kwenye lindi la umaskini mkubwa.

Miundo mbinu hasa barabara na umeme imekuwa duni au hakuna kabisa miaka nenda rudi. Lakini pamoja na changamoto hizo wakazi hawa wamebakia waaminifu mwa CCM.

Zao la biashara ni Tumbaku; pia miaka ya nyuma ilikuwa ni mbao aina ya mninga ingawa sasa mbao aina hii umeisha kabisa baada ya kuvumwa kwa pupa na wageni huku wenyeji hawa wakitabasamu.

Mkoa huu umetoa wanasiasa nguli wengi mno kwa leo ntakutajia mmoja tu Christopher Kasangatumbo simba wa Sikonge mzaliwa wa Ipole ugunda. ( RIP).

Niishie hapa kwanza...
 
Unaongelea sikonge au mkoa wa tabora kwa ujumla wake kaka.
 
Unaongelea sikonge au mkoa wa tabora kwa ujumla wake kaka.
Sikonge; mimi nimezaliwa Ipole na nimesoma na kufauru hapo hapo ipole primary school. Miaka mingi tumekuwa na uwakilishi hafifu sana bungeni; pia uaminifu wa wanyamwezi kwa watawala ( CCM) umekuwa mkubwa mno lakini return imekuwa hafifu mno
 
Sikonge; mimi nimezaliwa Ipole na nimesoma na kufauru hapo hapo ipole primary school. Miaka mingi tumekuwa na uwakilishi hafifu sana bungeni; pia uaminifu wa wanyamwezi kwa watawala ( CCM) umekuwa hafifu mno.
Ok, Basi sawa, ila naona ni moja za wilaya zinazojivunia kwa rasilimali misitu, sasa inawasaidiaje wananchi na halmashauri kwa ujumla wake kamanda tofauti na zao la asali.
 
Kama mime utafaidi sana mabinti wa sikonge kama wamakonde chupi ziko magotini na ufundi kama wa mwambao. Nakumbuka enzi ya balehe nilimla mwanamke sikonge kinguvu hivyo viuno huku akilia kimagumashi nimuachie cha ajabu baada ya kimoja nikajua hatafungua mapaja naona mtu kalala. Nikasema mtoto anataka tenaaa. Ingekua leo hii 30 inanihusu
We kaolo ngoma kakugeluzya uve kakunda...ohoooo
 
Ok, Basi sawa, ila naona ni moja za wilaya zinazojivunia kwa rasilimali misitu, sasa inawasaidiaje wananchi na halmashauri kwa ujumla wake kamanda tofauti na zao la asali.
Nimekwambia ukarimu wa wanyamwezi umewamaliza
 
Kwetu kiasili ni Kijiji cha Itegamatwi kilometers chache kutoka Tabora mjini kuelekea Urambo mpaka kigoma mwisho wa reli. Wilaya zote za Tabora nimefika isipokuwa Sikonge. Kwa uzoefu wangu hafifu kutoka kwa masimulizi ya waliowahi kufika, Sikonge haina shida kubwa sana ya kukusababisha ushindwe kuishi huko.

NB: ukiwa unakwenda shuka kijiji cha waarabu kinaitwa Tutuo kama bachela oa mwarabu kabisa hapo.(Joke)

Kalinho sana kulugo mudugu wane.
 
Ni kijijini mno , ila kma unapenda kuku wa kienyeji kule ni bei rahisi mno.
 
Tegasikio; si Tutuo tu pale hata Sikonge na Ipole kuna waarabu sisi tunawaitaga koko yaani wanyamwezi tupu ila wao wana ka ueupe. Hao owners wa Sabena na pale ipole wapo kina koffu na allife ingawa wamechoka mbaya
Ha ha haaaa! Kwakweli tofauti ya waarabu na wanyamwezi Tabora ni rangi tu lakini vingine hatujawaacha kitu
 
Back
Top Bottom