Anayepafahamu Sikonge, Tabora anijuze

Anayepafahamu Sikonge, Tabora anijuze

Kaka LIMWATA HUKO ukipikiwa nyama na hawara usile. Libwata la huko huchomoki.
 
mkuu njoo tu usiogope kama una fanya kazi njoo ufanye kazi mazingira yana ruhusu ila sio sehemu ya kula bata hakuna hotel huku bar chache hazi zidi 2

Kikubwa zaidi barabara niya vumbi kidogo sahizi kutoka mjini mpaka sikonge zilizo jegwa hazifiki km 30....

Km 74 toka mjini unatembea masaa 2..!

Kama unagari lako unalipenda anza kulichukia mapema...

KARIBU MKUU TUENDESHE GURUDUMU LA MAISHA
 
Hoteli hakuna gesti je ?
 
Ha ha ha haaaah kazi kweli kweli aisee.
 
Anayepafahamu Wilaya ya Sikonge, mkoa wa Tabora, Tafadhali naomba unifahamishe jinsi palivyo tabia za wenyeji na mengine mengi unayoyajua tafadhari.
Sikonge kwa sasa imekuwa na wageni wengi sana. Wenyeji wa Sikonge hasa ni WACHACHE.

Wengi ni wahamiaji wakitoka Vijiji au Kata/Tarafa mbalimbali ndani na nje ya Mkoa wa Tabora.

Pamechangamka sana kwa sasa ingawa bado mashamba kadhaa yapo almost SIKONGE mjini.

Karibu sana Sikonge na wala usihofu chochote.
 
Ungelifanya BUSARA sana ukakojoe ukalale hahaha 🙂 Lipumba na Sikonge wapi na wapi?

Sawa na kusema Kikwete anatoka Kisarawe.
Mkuu kulikuwa na haja au umuhimu gani ya kuniambia kakojoe nikalale?
 
Ni kati ya wilaya zilizo nyuma kimaendeleo. Pamepoa sana.
Wewe natamani niseme AMEPOA .......

ah-yes-the-sun-of-a-beach_o_2345271.webp
 
Nilitania kwa kujua wewe ni Mtani wetu.

Umeandika habari zote za uongo kama Kuna Nyoka WENGI SANA na Lipumba anatoka Sikonge.

Kama si MTANI wetu basi siku nyingine usitutanie. Take it easy!!!
Hawa mkuu nimekuelewa. Mimi ni huko Tabora hapo Urambo...Suala la nyoka wengi Tabora ni la kwel
 
Hawa mkuu nimekuelewa. Mimi ni huko Tabora hapo Urambo...Suala la nyoka wengi Tabora ni la kwel
Urambo na Tabora tunapishana kidogo sana.

Hata kuchaguliwa Wilaya, Mlibebwa na Marehemu Sitta.

Huwa nafika sana Urambo. Hujisikia nipo Sikonge kabisa.

Samahani ndugu yangu WA KUKAYA!!!
 
Wameshaleta VIFAA tayari kwa ajili ya ujenzi wa Barabara ya LAMI.

Lami imefika Mto Wala/ Kijiji cha Pangale. Sasa wanaivuta hadi ifike SIKONGE kabisa.

Mashine zipo Mkolani karibu na Mlogoro. Ukitoka hapo unafika Ikulu kwa Lugusha na ukipanda kimlima basi umefika Sikonge HQ na mwisho Sikonge Bus Stand na Madukani.

Back
Top Bottom