Kama Google mi pia ni
metumia sana kutafuta....hadi fb na kote,my intention was just to get a person who can inbox me her whereabouts!naona unachukulia tofauti sana
Nenda facebookSamahanini wandugu...mie namtafuta mdada fulani anaitwa Lizzy....tulimaliza nae Forest Hill Morogoro EGM mwaka 2005 kidato cha sita.....baadae alikuja kwenda UK kimasomo kwa taarifa za mwisho nilizozipata!anayemfahamu au kama anapita hapa..mie namtafuta!Msaada tafadhali
Mkuu KKIII watu8 ni balaa...lakn na yeye anasema hana ukaribu nae wowote
Jaribu possible names zake labda umeweka Lizzy kumbe yeye anatumia Elizabeth so kama kweli yuko abroad atakuwa kwenye ulimwengu wa digitali kwani ukiwa huko once you feel blue utajitahidi kuchat na watu.
Njoooo mbarali huku usha nipata
namba hiyo 0765231234!!!!!!
daah bahati mbaya mi simfahamu! Ngoja waje wengine!
Hebu acha ugwadu wewe.......hiyo amegoogle na akampata.....ungeshirikisha akili yako usingekuja kote huku.....haya sasa nenda Facebook kamtafute huko.....mi mwenyewe naitwa Lizzy........
Mkuu mimi siku diss wala nin ila ni kama vile technolojia uko nyuma ingawa umedai ulienda nchi za nje..lakini inawezekana ulikua congo, uganda etc maana hata hiyo ni nchi za nje coming to the point..sasa unajua inawezekana watu 8 amegoogle matokeo ya 2005 ya hiyo shule uliyoitaja na kukuta majina hayo..daah napata picha mkuu ulikua unamkubali mtoto wa kichaga halafu sound zilizingua saiv ndo unataka ufanye mambo hahahahahaha....i could be wrong but i could also be right hahahahahahah.....Mungu mkubwa,hilo jina la pili ndo lilikuwa linanipa ugumu ni ELIZABETH EUGENE,Mdada wa kichaga..sina nia mbaya Mungu anajua..ni mdada niliyeishi nae kwa wema wa kimungu,nikapotezana nae baada ya mimi pia kuenda nchi za nje,njoo PM Watu8...n Elizabeth ila kazoeleka Liz....kweli JF ni great forum!
Akirudi atayakuta...maana nami imebidi nifanye ufukunyuku ili kuyapata hayo majina.
ungejua wala usingetanguliza kashfa...lakn basi ndo tumeumbwa tofauti
Kwa maelezo aliyotoa ni ngumu kumpata hata wengine kumjua kama alivyouliza. Ninavyojua mtu hatafutwi hivi