Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Mtoa mada
Una uhakika gani kwamba Chidi alipoanza hakujua kama atakuja kuwa katika hali aliyokuwa nayo leo?Chidi hakuwahi kuwaona mateja kabla hajaanza kubiwa unga?Je Chidi hakuwa na taarifa juu ya madawa ya Kulevya?Hili swali ni pamoja na Ray C maana ndo chama moja.Jibu ni kwamba taarifa walikuwa nazo na walijua kuliko hata sisi.Walijiingiza kwa utashi wao wenyewe.Na kuwacheka sio dhambi hata kidogo na kuandika hapa kuwa tuungane sio njia ya kuzuia biashara ya unga.Kwanini vijana wengine hawavuti?Ina maana wale wooote wanaoishi Manyanya wanatumia unga?L hasha wapo wengi tu hawatumii.Kuna majanga ya kujitakia, kila mchuma janga hula na wa kwao.Ray C na Chidi wamechuma janga na wanakula na wakwao. Huyo Nando ndo shetani kabisa kwenye interview yake na ZAMARAD anamwambia kuwa yeye havuti unga ananusa tu,anawacheka wale wanaovuta,pumbaaavu zake kabisa. Anajigamba kwa kuhadithia unaanzaje kumuonea huruma kama sio kumcheka na kumwacha alivyo.
Hadi sasa 2017 hakuna kijana asiyejua madhara ya matumizi ya unga, hakuna hakuna hakuna, kila mtu anajua, na wengi tumeathirika na hili janga,kama sio sisi ndugu zetu,jamaa zetu, majirani zetu and Co.
Vijana wasilete mchezo na unga,ile ni sumu, hao wanaolima hata kama waliplan for US and Europe dunia ya leo hii ni kama mtaa tu, hakuna mechanism ya kuzuia.
Tanzania hakuna dhati ya kupmbana na wauza unga hasa waingizaji, umetoa mfano wa Nzowa na wale Wapakistan wa Mbezi Beach. Hebu fikiria Nzowa anawakamata, Wenzie wanawapa dhamana na kuwatorosha, hao walitoroka kwa kupaa angani?si walipita kwenye njia rasmi.Huenda tukiwacheka akina Chidi vijana wengine hawatajiingiza kwenye hili janga. Na tangu aondoke Kitwanga ndo kabisaaa kumedorora kwenye udhibiti wa huo unga,kutoskia watu wakikamatwa kwa unga jakuzuii kusema kwamba unga hauingii,maana kama unga hauingii mbona mateja wapo?Chidi alshakamatwa airport na akahukumiwa, hakujifunza?sie tunamsaidiaje hapo