Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
Haya madude watu hata wapige kelele ni ngumu kuishi..imeandikwa "lazima baadhi wateketee ili wengine wapone" hata Durtete rais wa Ufilipino anaua wauza unga lakini idadi bado kubwa sababu n business na kuna watu wamejiajili kupitia hiyo sawa na wauza sigara,pombe,bangi...so ni chain ambayo haikatiki inapenya hadi sehemu ambazo watu wanaabudu na kuziamini