patrickcharles
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 534
- 287
Si kwel
[emoji87] [emoji85] [emoji85]"Sio kila ndiyo inaundiyo kiundani bali baadhi ya ndio zimeambatana na Utani"
JE, Hilo unalojisifia ni ndio..?
Ulionja mini mkuu...msaidie chidi jinsi ya kuacha kama ulivofanya weweMadawa ladha yake ni chungu kama klorokwin lkn stim yke ni hatari...
Ova
Mkuu hili janga kupambana nalo halihitaji huruma.ni mwendo w Durtete tu na wakichina ndio mbadala wa mapambanotrump anafikiria kujenga ukuta,
china na indonesia wananyonga
duterte anaua kwa risasi kuanzia teja (sinziasinzia) mpaka pusha,
sasa sisi sijui rais wetu anatumia mbinu gani
NI SIRI YAO
Zote ulizoorodhesha hapo ndio inaweza kuwa angalau tija ya kupambana na uraibu huu taifa kubwa kama marekani mpaka kuamua kuweka rehabilitation centre inamaanisha vita ni kubwa na wakati mwingine kinga inashindikana inabidi uponye sasa sisi sijui tutumie njia gani ! labda tuwaroge waagizaji (jokes )trump anafikiria kujenga ukuta,
china na indonesia wananyonga
duterte anaua kwa risasi kuanzia teja (sinziasinzia) mpaka pusha,
sasa sisi sijui rais wetu anatumia mbinu gani
NI SIRI YAO
Tatizo bongo unafiki mwingi rais akiyachukua mawazo yako zipo haki za kibinadamu wataanza kulaani raia nao wataanza kulalamika, shida tuputrump anafikiria kujenga ukuta,
china na indonesia wananyonga
duterte anaua kwa risasi kuanzia teja (sinziasinzia) mpaka pusha,
sasa sisi sijui rais wetu anatumia mbinu gani
NI SIRI YAO
Hapo kwenye kuchanganya na ganja hapooZote ulizoorodhesha hapo ndio inaweza kuwa angalau tija ya kupambana na uraibu huu taifa kubwa kama marekani mpaka kuamua kuweka rehabilitation centre inamaanisha vita ni kubwa na wakati mwingine kinga inashindikana inabidi uponye sasa sisi sijui tutumie njia gani ! labda tuwaroge waagizaji (jokes )
Inatakiwa zaidi ya uwendawazimu kukabiliana na watu hawa wana pesa ndefu chafu na wapo katika kada zote na mbinu wanazotumia kuwaingiza wateja wapya kwa kuwa changanyia na ganja unaona jinsi walivyo mahiri kuongeza wateja .
tatizo kwetu ya duterte haiwezekani hata kidogoMkuu hili janga kupambana nalo halihitaji huruma.ni mwendo w Durtete tu na wakichina ndio mbadala wa mapambano
Ina maana video nzima anavyoongea nando ushaur alioutoa haujausikiaaa au
Ndo ukaonje ss ili ujue ladha ykMi najiuliza haya madawa yana ladha gani ambayo huwezi acha??