Anayekutawala amekuzidi Akili

Waligundua mwaka gani?
Nani aliyegundua?
Nini kilipelekea ugunduzi huo?
Gunpowder is the first explosive to have been developed. Popularly listed as one of the "Four Great Inventions" of China, it was invented during the late Tang dynasty (9th century) while the earliest recorded chemical formula for gunpowder dates to the Song dynasty (11th century). Knowledge of gunpowder spread rapidly throughout Asia and Europe, possibly as a result of the Mongol conquests during the 13th century, with written formulas for it appearing in the Middle East between 1240 and 1280 in a treatise by Hasan al-Rammah, and in Europe by 1267 in the Opus Majus by Roger Bacon. It was employed in warfare to some effect from at least the 10th century in weapons such as fire arrows, bombs, and the fire lance before the appearance of the gun in the 13th century. While the fire lance was eventually supplanted by the gun, other gunpowder weapons such as rockets and fire arrows continued to see use in China, Korea, India, and this eventually led to its use in the Middle East, Europe, and Africa. Bombs too never ceased to develop and continued to progress into the modern day as grenades, mines, and other explosive implements. Gunpowder has also been used for non-military purposes such as fireworks for entertainment, or in explosives for mining and tunneling.

Earliest known written formula for gunpowder, from the Wujing Zongyao of 1044 AD.
The evolution of guns led to the development of large artillery pieces, popularly known as bombards, during the 15th century, pioneered by states such as the Duchy of Burgundy. Firearms came to dominate early modern warfare in Europe by the 17th century. The gradual improvement of cannons firing heavier rounds for a greater impact against fortifications led to the invention of the star fort and the bastion in the Western world, where traditional city walls and castles were no longer suitable for defense. The use of gunpowder technology also spread throughout the Islamic world and to India, Korea, and Japan. The so-called Gunpowder Empires of the early modern period consisted of the Mughal Empire, Safavid Empire, and Ottoman Empire.

The use of gunpowder in warfare during the course of the 19th century diminished due to the invention of smokeless powder. Gunpowder is often referred to today as "black powder" to distinguish it from the propellant used in contemporary firearms.[1
 
Waligundua mwaka gani?
Nani aliyegundua?
Nini kilipelekea ugunduzi huo?
Wacha nikusaidie China ina historia ya miaka 5000 since civilization mpaka sasa ubaya ni kwamba mfumo wetu wa elimu umekuwa influenced na wakoloni wetu hivyo sikulaumu kuna mengi unaweza ufahamu nje ya ulimwengu wa wakoloni wetu.
 
Unafikiri ni kwa nini hata hao wachina wanahangaika kwenda kusomea mataifa ya Ulaya?

Kwa uelewa wako kuongoza na kudhibiti Chombo kama ndege au meli vita na kuongoza na kudhibiti Binadamu ni ipo ni akili kubwa?
 
Gunpowder is the first explosive to have been developed. Popularly listed as one of the "Four Great Inventions" of China, it was invented during the late Tang dynasty (9th century) while the earliest recorded chemical formula for gunpowder dates to the Song dynasty (11th century). Knowledge of gunpowder spread rapidly throughout Asia and Europe, possibly as a result of the Mongol conquests during the 13th century, with written formulas for it appearing in the Middle East between 1240 and 1280 in a treatise by Hasan al-Rammah, and in Europe by 1267 in the Opus Majus by Roger Bacon. It was employed in warfare to some effect from at least the 10th century in weapons such as fire arrows, bombs, and the fire lance before the appearance of the gun in the 13th century. While the fire lance was eventually supplanted by the gun, other gunpowder weapons such as rockets and fire arrows continued to see use in China, Korea, India, and this eventually led to its use in the Middle East, Europe, and Africa. Bombs too never ceased to develop and continued to progress into the modern day as grenades, mines, and other explosive implements. Gunpowder has also been used for non-military purposes such as fireworks for entertainment, or in explosives for mining and tunneling.

Earliest known written formula for gunpowder, from the Wujing Zongyao of 1044 AD.
The evolution of guns led to the development of large artillery pieces, popularly known as bombards, during the 15th century, pioneered by states such as the Duchy of Burgundy. Firearms came to dominate early modern warfare in Europe by the 17th century. The gradual improvement of cannons firing heavier rounds for a greater impact against fortifications led to the invention of the star fort and the bastion in the Western world, where traditional city walls and castles were no longer suitable for defense. The use of gunpowder technology also spread throughout the Islamic world and to India, Korea, and Japan. The so-called Gunpowder Empires of the early modern period consisted of the Mughal Empire, Safavid Empire, and Ottoman Empire.

The use of gunpowder in warfare during the course of the 19th century diminished due to the invention of smokeless powder. Gunpowder is often referred to today as "black powder" to distinguish it from the propellant used in contemporary firearms.[1

Hata Afrika wapo wagunduzi kibao waliogundua teknolojia za hapa na pale lakini hiyo haimaanishi chochote kama wameshindwa kubuni na kugundua mbinu za kuongoza na kutawala Wanadamu Wenzao.

Jukumu la kwanza wa Watu wenye akili ni kutawala. Kisha hayo mengine ndio yanafuatia.
 
Unafikiri ni kwa nini hata hao wachina wanahangaika kwenda kusomea mataifa ya Ulaya?

Kwa uelewa wako kuongoza na kudhibiti Chombo kama ndege au meli vita na kuongoza na kudhibiti Binadamu ni ipo ni akili kubwa?
Wachina kwenda kusoma nje kuna sababu wanazo kama ambavyo kuna wazungu na watu wa jamii zengine wapo China.

Wanafunzi wengi wapo nje ya nchi zao kwa sababu maalumu hasa ya mataifa makubwa kuna shutuma nyingi marekani imekuwa ikiwashutumu wachina kuhusu uwepo wa wanafunzi wao kwao.

Kitu kingine China, India zina ushindani mkubwa sana ya kielimu ndani ya nchi zao kuna kitu kinaitwa national entrance examinations mfano gaokao na Jee hii ni mitihani migumu sana wengi ambao grades hazikidhi wanaenda nje ya nchi kuchukua elimu.

Suala la kumdhibiti mtu halihitaji kiwango cha juu cha elimu mabavu yanaweza kufanya hivyo na mtu akadhibitika.
 
Hata Afrika wapo wagunduzi kibao waliogundua teknolojia za hapa na pale lakini hiyo haimaanishi chochote kama wameshindwa kubuni na kugundua mbinu za kuongoza na kutawala Wanadamu Wenzao.

Jukumu la kwanza wa Watu wenye akili ni kutawala. Kisha hayo mengine ndio yanafuatia.
Nimekupa hapo ulicho uliza kupitia wazungu wenyewe kukiri hilo kutoka kwa kwa wachina bado una ng'ang'aniza ajenda yako sielewi.

Albert Einstein ni mjerumani aliyekuwa na akili nyingi lakini alikimbia utawala wa kimabavu wa adolf Hitler unataka kusema Hitler alimzidi akili Albert kwa ubabe wake ?
 
Wachina kwenda kusoma nje kuna sababu wanazo kama ambavyo kuna wazungu na watu wa jamii zengine wapo China.

Wanafunzi wengi wapo nje ya nchi zao kwa sababu maalumu hasa ya mataifa makubwa kuna shutuma nyingi marekani imekuwa ikiwashutumu wachina kuhusu uwepo wa wanafunzi wao kwao.

Kitu kingine China, India zina ushindani mkubwa sana ya kielimu ndani ya nchi zao kuna kitu kinaitwa national entrance examinations mfano gaokao na Jee hii ni mitihani migumu sana wengi ambao grades hazikidhi wanaenda nje ya nchi kuchukua elimu.

Suala la kumdhibiti mtu halihitaji kiwango cha juu cha elimu mabavu yanaweza kufanya hivyo na mtu akadhibitika.

Huwezi mdhibiti mtu aliyekuzidi Akili Maisha yako yote.

Akili kubwa ni kuongoza na kuwatawala binadamu.

Unachojaribu kufanya hapa ni kujifariji au kujidanganya.

Ni kama wewe na rafiki yako Abdallah
Wewe tengeneza teknolojia alafu wewe na hiyo teknolojia mnatawaliwa na Abdallah yeye anakutawala na kukuendesha wewe na hiyo teknolojia na anakupangia matumizi. Hapo ndio utajua wewe na Abdallah nani anaakili
 
Nimekupa hapo ulicho uliza kupitia wazungu wenyewe kukiri hilo kutoka kwa kwa wachina bado una ng'ang'aniza ajenda yako sielewi.

Albert Einstein ni mjerumani aliyekuwa na akili nyingi lakini alikimbia utawala wa kimabavu wa adolf Hitler unataka kusema Hitler alimzidi akili Albert kwa ubabe wake ?

Ndio alimzidi kwa mbali Sana.
Kwa sababu Hitler aliongoza na kutawala mamilioni ya Watu ikiwemo huyo Albert Einstein. Lakini Albert Hana uwezo wa kutawala hata Watu kumi zaidi ya kutawaliwa tuu.
 
Back
Top Bottom