David Goliath
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 949
- 1,895
Niko hapa naangalia TBC hawa watangazaji ni kama akili zao zimepigwa ganzi hamna la maana linaongelewa Leo ni miaka60 ya uhuru wa Tanganyika mbali na mafanikio Kuna mapungufu lkn wao wamekaa kuimba minyimbo na kusifia Kwa kujipendekeza, au mishahara Yao ni mikubwa inafanya wajipendekeze ili kulinda ugali?