wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,596
- 29,525
Duu kwetu tunayala hivyo hivyo kumbe kwimgine ni kiungio cha mbogaOoh ulipo sema matunda damu nikajua hayo, nimeyaona hayo makilaume hapo chini naona kuna mdau kuweka picha yake, niliyala sana nikiwa Lushoto na yanaungwa kwwnye mboga kama nyanya chungu. Ndani mekundu ukipata matamu unaweza yala hivi hivi mabichi kama tunda.
Hata hayo makweme pia yanapatikana Lushoto. Tanga ni mkoa ambao yanapatikana kila aina ya matunda, mengi sana au kwa asilimia kubwa japo si yote yanapatikana Tanga.
Ever Smiling Kasie.
Sasa hiyo mboga ikalala kwa wale wenzangu na mie tunaoamkia mboga asbh ukiila hiyo nyongo si itapasuka??