Johnson mushi
Member
- Dec 19, 2014
- 20
- 11
Kwa jina liingine ni matungucha
Yapo sana mkuu, nakumbuka zamani tulikuwa tunaenda msituni kutafuta makweme.. Na mnavuna balaaaa,,, kila siku izi wengi hupanda majumbani,,, mi mpka sasa kwa bibi yangu yapo. Matunda damu ndo usiseme,,, walaji tu ndo shidaKumb mbeya yapo mkuu, sisi hayo tunapikia mbogha/mboga
Kumbe wewe ni mpare.....!!??
Nilivyoona makilaume nimeukumbuka msele
Nimepamiss home.....
Ni wapi mkuu, alafu dah, asili ya dunia inaisha.Hayo yote kule kwetu Ng"uni Matikony yapo mengi sana kiasi kwamba wanasemaaga ni matunda ya watoto.Miaka hiyo ya azimio la kufa na kupona tulikuwa tunayauza sana mashuleni, watoto wanajidai nayo.Siku hizi yanaelekea kutoweka kutokana na mabadiliko ya uoto wa asili.Lakini hata hivyo yapo maana nilipita sokoni kule Mula nikakuta ni biashara kama biashara nyinginezo kabisa.
Ase mkuu tutumie picha ya mimea ukiweza. AsanteYapo sana mkuu, nakumbuka zamani tulikuwa tunaenda msituni kutafuta makweme.. Na mnavuna balaaaa,,, kila siku izi wengi hupanda majumbani,,, mi mpka sasa kwa bibi yangu yapo. Matunda damu ndo usiseme,,, walaji tu ndo shida
Bila Hata Kumung'unya Maneno Father Angu Mzee Wa Miwan MeusiNayajua yote hayo nshafika, picha zake naweza leta baadae.
Hizo hapo picha nishazipata. ......
View attachment 669102
Hizo ni kweme.
View attachment 669103
Hayo ni matunda damu.
Ever Smiling Kasie.
hata mimi sijui yanazaliwaje, ila mkuu mshana jr na KikulachoChako nahisi wanajuaWe mparee, hivi makweme yanazaliwaje asee, kwa mizizi au kama maembe [emoji41] mana nayaonaga ila sijawah ona mmea
Mkuu kwa sasa sipo huko,,,Ase mkuu tutumie picha ya mimea ukiweza. Asante
Hahaha weka wazi mkuuBila Hata Kumung'unya Maneno Father Angu Mzee Wa Miwan Meusi
Aliniambia Iyo Kitu Inaongeza Mambo Fran Iv Ndan Ya Mwil Wa Binadam
Na ayo Makweme Yanapatika Kule Ulipo Olewa
Cc Usangi Ndorwe Msangeni Kikwen Shighatini Store Mombasa
Hayo Ni Kama Karanga MbichiHahaha weka wazi mkuu
Wakenja,Makila - yanaleta ladha fulani kwenye mboga hasa za majani.
Mchuzi hata ukiwa mwepesi na kilaume unakata 'sima' ya ugali. Sometimes ukila wali/ makande na unahisi hakuna ladha basi unaling'ata kidogo kila ukiweka kijiko cha chakula mdomoni unanyonya ' kakila'
Makweme/makungu- unaweka kwenye mboga kama karanga, unayachoma unasaga then unachanganya na maziwa mgando unakula ugali (nzuri hii kwa afya)
Makweme- huwekwa pia kwenye ndizi kama nazi,
MZAZI ALIYEJIFUNGUA - Mboga zake baada ya kutenga supu huchemshwa muda mrefu na makweme hakika hurekebisha tumbo, mafuta ya asili, ni mboga tamu na nzito n.k