Judeh Elijah
Member
- Jan 9, 2017
- 23
- 4
- Thread starter
- #21
Naomba niembie kienda kama kuna nyumb za waalimu,maji,mitandao,nkInchugu Sec ipo Wilaya ya Tarime, Tarafa ya Inchugu karibu na kijiji cha Getagasembe na Gwitiryo. Niliishawahi kufundisha hapo kwa kujitolea na ndio Nyumbani ukifika Sirari unapanda boda boda ni sh 1,500 tu