Anayejua Inchugu secondary

Mwendo wa dakika 15 kutoka Tarime mjini na gari. Iko mpakani mwa Tanzania na Kenya panaitwa SIRARI ila pembeni kidogo.

Wakurya huko huwa wakikorofishana mishale na mapanga njenje! Ila wakarimu sana.
Ya mishale na mapanga tulishaletewa KANDA MAALUN. Hizo mambo hamnaga tena
 
Karibu sana edeni iliyosalia wilayani TARIME maeneo ya SIRARI ambapo utaingia KENYA kwa dk.0 na kurudi Tz. Ardhi in nzuri ya kijani, ndizi, viazi na maparachichi kwa wingi. Amani ipo ya kutosha na kama vipi ntakutumia namba ya Academic kama sio Second Mr.MASATU
 
Naomba nitumie Mr.Moi kama unahizo contact
 
Inchugu Sec ipo Wilaya ya Tarime, Tarafa ya Inchugu karibu na kijiji cha Getagasembe na Gwitiryo. Niliishawahi kufundisha hapo kwa kujitolea na ndio Nyumbani ukifika Sirari unapanda boda boda ni sh 1,500 tu
 
Back
Top Bottom