Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,574
- 15,454
Unatumiaga shipping method ipi, DHL au AliExpress Standard ShippingMkuu Chief-Mkwawa samahani nimevutiwa na hii Samsung a50 ila nataka kuchuku hiyo ya us version single line sababu ya unafuu wa bei,,je inaweza kusumbua mtandao huku kwetu?View attachment 2546535