voicer JF-Expert Member Jul 13, 2020 5,553 11,885 Mar 29, 2022 #181 denooJ said: Navyojua kadri mwanadamu anavyozidi kuzeeka ndio akili yake inarudi kuwa kama ya mtoto, hivyo simshangai huyo babu. Click to expand... Ila kasoro mzee Mtei yeye hazeeki na kila siku ushauri wake unazidi kuwa mzuri sio?
denooJ said: Navyojua kadri mwanadamu anavyozidi kuzeeka ndio akili yake inarudi kuwa kama ya mtoto, hivyo simshangai huyo babu. Click to expand... Ila kasoro mzee Mtei yeye hazeeki na kila siku ushauri wake unazidi kuwa mzuri sio?
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Oct 20, 2014 15,334 24,229 Mar 29, 2022 #182 UmkhontoweSizwe said: Kama ana matatizo basi ni ya kawaida tu kama binadamu wengine, lakini for sure hana tatizo super kama la kwako. Click to expand... Mbona tena unabwabwaja, kujua kwingi kumbe huna kitu kichwani. Eleza matatizo ya Dr Slaa , au na wewe unajiona moyoni mwa Magufuli?
UmkhontoweSizwe said: Kama ana matatizo basi ni ya kawaida tu kama binadamu wengine, lakini for sure hana tatizo super kama la kwako. Click to expand... Mbona tena unabwabwaja, kujua kwingi kumbe huna kitu kichwani. Eleza matatizo ya Dr Slaa , au na wewe unajiona moyoni mwa Magufuli?
voicer JF-Expert Member Jul 13, 2020 5,553 11,885 Mar 29, 2022 #183 utah jazz said: Wenye akili kubwa km yeye wamemwelewa Click to expand... Kweli kabisa kwa sababu hata kelele zilizoko mitaani sasa hivi ni kwa sababu wananchi wanajutia kutokuwepo kwake. Serikali imekuwa ya wenye nacho tu kwa sasa! Chama CCM kimeanza kuporomoka kama awamu ya nne! Sera zimebaki ni kuuza nchi tu. Kila mtu anakula kwa makali ya Panga lake tu.
utah jazz said: Wenye akili kubwa km yeye wamemwelewa Click to expand... Kweli kabisa kwa sababu hata kelele zilizoko mitaani sasa hivi ni kwa sababu wananchi wanajutia kutokuwepo kwake. Serikali imekuwa ya wenye nacho tu kwa sasa! Chama CCM kimeanza kuporomoka kama awamu ya nne! Sera zimebaki ni kuuza nchi tu. Kila mtu anakula kwa makali ya Panga lake tu.
voicer JF-Expert Member Jul 13, 2020 5,553 11,885 Mar 29, 2022 #184 Mystery said: Huyu Mzee, ni tumbo tu linalomsumbua. Baada ya kuona kuwa ametupwa nje ya ubalozi........ Anatafuta njia za kuonekana na wanaccm, Ili apewe "ulaji" mwingine Click to expand... Kawaida yenu Chadema na kauli kama hizi kwa opponents wenu. Akili ya Dk Slaa ni sawa na kina Lema mia moja.
Mystery said: Huyu Mzee, ni tumbo tu linalomsumbua. Baada ya kuona kuwa ametupwa nje ya ubalozi........ Anatafuta njia za kuonekana na wanaccm, Ili apewe "ulaji" mwingine Click to expand... Kawaida yenu Chadema na kauli kama hizi kwa opponents wenu. Akili ya Dk Slaa ni sawa na kina Lema mia moja.
voicer JF-Expert Member Jul 13, 2020 5,553 11,885 Mar 29, 2022 #185 RWANDES said: Kumwelewa dr. Slaa lazima uwe na akili kubwa zaidi ya hapo utabaki na vijembe Click to expand... Hawa wafuasi wa Mbowe wengi ni watafuta shot cuts siasa sio sehemu yao. Wengi ni wasaka tonge tu.hasira zote hizi sababu kubwa ni kukaa vijiweni kwa muda usiojulikana. Na wengi waliishaifanya siasa kuwa sehemu rasmi ya kujipatia riziki ya watoto na familia zao. Wapiga kelele wakuu huko ni wale waliokuwa walimu na wakaacha ajira zao rasmi. Mfano Heche na Pambalu.
RWANDES said: Kumwelewa dr. Slaa lazima uwe na akili kubwa zaidi ya hapo utabaki na vijembe Click to expand... Hawa wafuasi wa Mbowe wengi ni watafuta shot cuts siasa sio sehemu yao. Wengi ni wasaka tonge tu.hasira zote hizi sababu kubwa ni kukaa vijiweni kwa muda usiojulikana. Na wengi waliishaifanya siasa kuwa sehemu rasmi ya kujipatia riziki ya watoto na familia zao. Wapiga kelele wakuu huko ni wale waliokuwa walimu na wakaacha ajira zao rasmi. Mfano Heche na Pambalu.
voicer JF-Expert Member Jul 13, 2020 5,553 11,885 Mar 29, 2022 #186 King Kong III said: Anasaka Tonge. Click to expand... Kama mleta hoja pia!