Hapo umetaja brands..taja aina ya perfume/cologneNgoja mm nikupe list hapa Kazi iwe kwako kuumiza AKILI lkn nukuu ongezea iyo pesa yako Ndugu yang .Nukuu hautokuja kujutia ukitumia hizi bidhaa
Changamoto zake ni kusumbuliwa na wadada
1.Brown orchid
2.Echo
3.Versace
4.Zara
5.Dior
6.GreedAventus sio ile og.
7.Axe polo
8.Hayaat
9.Dark fever
10. Dirham
Mkuuu moja Kati ya hizi bidhaa ni kwere inkaa kwenye nguo 24hours na zaid depends na mazingira unashinda ww
Mademu nje nje huvutiwa na zile harufu quite and smooth haikeri .Sijaweka bei lkn angalau uwe na 25k utaopoa mojawapo kila la kheri katika Safar ya kuwa gentleman
Rose midnight [emoji3][emoji3] au sioIpo moja inaitwa rose mcharuko 3500 hutonisahau
Naongezea Galaxy S3 perfum moja nzuri sana...
Utuletee mrejesho Hapa baada ya trials ya mkumtongoza mtoto Emmy under intensive smell Black feverPerfume na body spray yake kwa 17k tu mzigo upo mikononi harufu yake ni nzuri haikeri
Ngoja nijipulizie nikajaribu kumtongoza mtoto mzuri emmy nitareta mrejesho!! [emoji23][emoji2]View attachment 1706251View attachment 1706252
Utakua mdau mwenzangu
Kaperfum katam mno
Belagio Perfume
Ongeza 25k kwenye hivyo vijisenti vyako ununue blue channel, mabinti watakuwa wanaomba makumbatio yako kama wewe ni mrefu
haichaguiNi ya kiume???
Set ya kinyama sana hii[emoji108][emoji108]Perfume na body spray yake kwa 17k tu mzigo upo mikononi harufu yake ni nzuri haikeri
Ngoja nijipulizie nikajaribu kumtongoza mtoto mzuri emmy nitareta mrejesho!! [emoji23][emoji2]View attachment 1706251View attachment 1706252
haichagui
Perfume na body spray yake kwa 17k tu mzigo upo mikononi harufu yake ni nzuri haikeri
Ngoja nijipulizie nikajaribu kumtongoza mtoto mzuri emmy nitareta mrejesho!! 😂😃View attachment 1706251View attachment 1706252
Wapi naipata hiset??Perfume na body spray yake kwa 17k tu mzigo upo mikononi harufu yake ni nzuri haikeri
Ngoja nijipulizie nikajaribu kumtongoza mtoto mzuri emmy nitareta mrejesho!! 😂😃View attachment 1706251View attachment 1706252
Huu mzigo ni Hatari [emoji91]TajSunset...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ongeza 25k kwenye hivyo vijisenti vyako ununue blue channel, mabinti watakuwa wanaomba makumbatio yako kama wewe ni mrefu
Hiyo mi nilinunua Zanzibar kwa 20,000 ila ni nzuri mno haikeri na imepoa hivi ila inakaa sana.Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo
Jinsia yangu ni mme
Ahsanteni
Kuoga tu ndo booonge la pafyum 🚿