Anayejua aina nzuri ya perfume

mwenye al rehab superman anishtue.
 
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.

Jinsia yangu ni mme

Ahsanteni
Gift of Zanzibar lakini si sent hiyo mkuu
 
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.

Jinsia yangu ni mme

Ahsanteni
Dior
Gucci Gabbana.
Crocco.
Burbery for Man.
Jaribu hizo kwanza.
DLaki2 +
Za wachina elfu 30 tu.
Unanuka km kondoo aliyetoroka machinjioni.
 
ungeweka na wastani wa bei kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…