Anayeichafua TAHLISO huyu hapa

Anayeichafua TAHLISO huyu hapa

BabaJoni

New Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Anaitwa Donath Sara na arikuwa makamu wa lais STEMMUCO.Ni katibu mkuu wa TAHLISO na ariingia kwenye mgogolo binafsi na mwenyekiti Amon Chakushemeile kwa kuwa arikuwa hamkubari na hata kwenye uchaguzi Zanzibar Donath arikuwa na kundi rake.

Mgogolo mkubwa ni masrahi kwani Amon ni kundi la Mwakyembe na Donath ni kundi la Lowassa.Tangu wamechaguliwa Donath amekuwa akifanya kasi kinafiki na Amon.

Uchu wa madaraka ndiyo iliyozaa mgogoro wote hadi kufikia Donath kumchafua Amon kwenye mitandao na kumuita raia wa Rwanda.

TAHLISO watapewa nafasi moja kwenye bunge la katiba sasa Donath anaitaka lakini kikatiba ni nafasi ya mwenyekiti hivyo ameona ampige zengwe la uraia ili nafasi hiyo apewe yeye kama katibu mkuu.

Kwa unafiki baada ya kumpiga zengwe hilo huyo huyo dogo akaja humu JF na kufungua akaunti mpya ili kumsafisha Amon.

Pia kuna safari ya kwenda China mwezi huu nalo limezidisha mgogolo baina yao.
 
'Mgogolo', 'ariingia' duh. Nimechoka kabisa
 
Mkuu una elimu ya kiwango gani? Kama ni level ya university...am tired lol!! It is terrible, sijui kwa kweli.
 
Jinga kabisa, unatupa taarifa ya tanzania higher learning institution halafu unaandika upumbavu hivi. Rudi chekechea ukifaulu mtihani wa r na l ndio urudi hapa
 
Kama upo chuo kikuu ni hasara kwa wazazi wako na serikali inayokulipia ada
 
Anaitwa Donath Sara na arikuwa makamu wa lais STEMMUCO.Ni katibu mkuu wa TAHLISO na ariingia kwenye mgogolo binafsi na mwenyekiti Amon Chakushemeile kwa kuwa arikuwa hamkubari na hata kwenye uchaguzi Zanzibar Donath arikuwa na kundi rake.

Mgogolo mkubwa ni masrahi kwani Amon ni kundi la Mwakyembe na Donath ni kundi la Lowassa.Tangu wamechaguliwa Donath amekuwa akifanya kasi kinafiki na Amon.

Uchu wa madaraka ndiyo iliyozaa mgogoro wote hadi kufikia Donath kumchafua Amon kwenye mitandao na kumuita raia wa Rwanda.

TAHLISO watapewa nafasi moja kwenye bunge la katiba sasa Donath anaitaka lakini kikatiba ni nafasi ya mwenyekiti hivyo ameona ampige zengwe la uraia ili nafasi hiyo apewe yeye kama katibu mkuu.

Kwa unafiki baada ya kumpiga zengwe hilo huyo huyo dogo akaja humu JF na kufungua akaunti mpya ili kumsafisha Amon.

Pia kuna safari ya kwenda China mwezi huu nalo limezidisha mgogolo baina yao.

Sawa mura!!!tutawashughurikia wote!!
 
Huko china anawapeleka nani? au ndo mmeanza kazi ya UPUNDA?
 
jaman naomben kujua kinachomsibu mleta mada ni kabila lake au kiwango cha elimu aliyonayo?
 
Wengine hata hatuelewi TAHLISO ni nini,i.e mnyama,mdudu,political party,dhehebu,kitabu,chakula,mtu,timu,taasisi,etc. hebu fafanueni vzr ili tujue pa kuanzia kuchangia!
 
Sijui tatizo ni vyuo vya kata au ni vichwa vya wanafunzi wenyewe...no wonder watoto wanaingia sekondari bila kujua kusoma na kuandika, haohao ndiyo wanaenda chuo kikuu, matokeo yake ndiyo haya mtu anayetafuta shahada ya kwanza anaandika kiswahili sawa na mtoto wa darasa la saba!
 
Kweli huyu jamaa anatakiwa kurudi chekechea akajifunze matumizi ya R na L. Hii ni balaa
 
Joni wako anakazi sana kama baba yake hajui matumizi ya r na l,je joni si ndio hajui kusoma na kuandika na ndio anamaliza darasa la saba hivyo. Arikuwa,lais,rake kaz unayo na mwalimu wako wa kiswahili.
 
Back
Top Bottom