Mkuu ukija na mikoani utangazae hivi hivi hili ni dili wa kwetu,Kama uko Zanzibar unguja na unaweza kazi nicheki
0624254690
Kazi ni kesho kuchimba msingi!
Malipo 30,000
Chakula utapewa 2,000 maana hakuna sehemu wanauza chakula mchana.
Eneo ni karibu na Fuoni kituo Cha Polisi
Sawa Mkuu.Watu wengi wako na uhitaji wa kazi mkuu, siwezi kuweka mzaha kwenye hili, Anayehitaji kazi na Yuko eneo tajwa anicheki 0624254690
Hapo sawaMtu wa nje ya Unguja haimfai.. kazi ni siku mbili 60,000 Tshs
Huu ni mwezi mtukufu, hakuna sehemu kunauzwa chakula.Yaani MTU achimbe msingi bila kula, huko hakufai
Kumbe Waislam ni wako hivyo? Imani zao sisi zinatuhusu nini?Huu ni mwezi mtukufu, hakuna sehemu kunauzwa chakula.
Siku ya kwanza tumefika jamaa yangu kidogo alale kituo Cha polisi Kwa kula Halfkeki hadharani.
Ni vizuri kuheshimu Imani za watu 🙏
NKama uko Zanzibar unguja na unaweza kazi nicheki
0624254690
Kazi ni kesho kuchimba msingi!
Malipo 30,000
Chakula utapewa 2,000 maana hakuna sehemu wanauza chakula mchana.
Eneo ni karibu na Fuoni kituo Cha Polisi
Wanataka watu wore wafunge kwa lazima, jamaa wapuuzi Sana.Kumbe Waislam ni wako hivyo? Imani zao sisi zinatuhusu nini?