Anayehitaji dereva

Anayehitaji dereva

southernboy

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
905
Reaction score
1,109
Habari wakuu,mimi ni fundi mwanafunzi japo ndo najiifunza umeme wa magari bado nipo garage , Pia ni dereva mzuri na leseni ninayo class ABD
kwahiyo kwa wakazi wa Dodoma anaye hitaji dereva wa kumtuma sehemu au kupeleka watoto shule na kuwarudisha nyumbani nipo hapa .karibuni
 
Tanganyika ukiwa mkweli sana hipati kazi,tumezoea kudanganywa uandishi wa post yako unaonekana kabisa kwenye idara hiyo bado hujakomaa kabisa.
 
Back
Top Bottom