HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,879
Kama walimbabua Mh. Lowasa bila ganzi watashindwaje kuvibabua vidagaa vyao?
Ngoja ccm ife tuanze upya kwani kuanza sio kosa
Ngoja ccm ife tuanze upya kwani kuanza sio kosa
Labda tu tukukumbushe kuwa, alivyoanza kunyanyasa vyama vya upinzani Tundu Lissu aliwaonya nyie ma CCM msinyamaze kwa kuona wanayofanyiwa upinzani, siri ya dikteta uchwara ni kwamba akimaliza na upinzani atarudi kwenye chama chake.....Nikutahadharishe tu kubabuka kwa wana ccm kuna andaa mazingira ya kubabuliwa wewe .
Mkuu alishasemaMasikini kumbe Lowasa hakuiacha CCM salama.