Kuna mkataba nimeutuma unaonyesha malipo yanavyokua.
Unaweza kununua mtambo wa taa pekee au mtambo wa taa na TV.
Ukinunua mtambo wa taa pekee utaanzia malipo ya awali ya 50,000 na utalipia 1800 kwa siku na itaamount kwenye 54,000 kwa mwezi. Hii 1800 inalipwa kwa siku 500. Jumla ya pesa yote inakua 950,000.
Ukinunua mtambo wa taa na TV unaanza malipo ya awali ya 110,000 na utakua unalipia 4000 kwa siku, kwa jumla ya siku 500. Jumla ya pesa itakayolipwa ni 2,110,000.
Kwa wateja ambao wapo karibu huduma ya kufungiwa inakua rahisi zaidi.