Mmm.
Wewe ni Msukuma?
Ndiooooo
Mbona hufananii?
Wakati wa majambozi huwa wanatulia tuli ili umuwoweee!!! eti hiyo ni heshima
Ni wapole, wewe siyo mpole kama wao..Sifananijee, wanafananaje kwanii???mi nafananaje???
Ni wapole, wewe siyo mpole kama wao..
We umejuaje mi sio mpole???
Ule nsukuma wahe nang'ho? mabhuhwahwa!
Ngaloo nyakahanga tole bhinge doho, alehaya kotola ekaya ng'welage wizede doho,tokena na tabu obhise
Yaya ukulehya, kulunja duhu na kukwa mang'ombe magana
Hahahha nayene ngaloo
Mmesahau.
Kuna wasukuma wanawake wanaoua waume zao pale wanapoona mtoto wa kiume kawa mkubwa.
Ndiooooo
Msukuma wa wapi wewe?
Mwanza.....