Anayefahamu sifa za mabinti wa kisukuma

Anayefahamu sifa za mabinti wa kisukuma

1st I diclare interest.
Mimi ni msukuma.
KWANZA KILA KABILA LINA WATU WA AINA ZOTE.
japo msukuma mkorofi hawezi kulingana na mkurya mkorofi.
Walio wengi na karibia wote ni wapole sana,wavulimivu,wachapakazi,kifupi wana tabia nzuri.
SIMAANISHI HAWAWEZI KUZINI JAPO SIO SIFA YAO.
kwetu hatufanyi tohara KAMA MILA kwa jinsia zote na kwa msingi huo hakuna mafunzo yoyote ya mapenzi kama makabila mengine.
LAKINI UKIMKUTA SI MTAALAMU UNAMWELEKEZA NA MAMBO YANAKUWA SAWA.
pia hali inayolalamikiwa na wengi kuwa wanatulia tu kwenye mechi,ni tatizo ambalo si kubwa sana kwa wakati huu na kwa kiasi kikubwa halipo japo wanaweza wasilingane na waliofundishwa unyagoni nk,wamebadilika mana kelele hizi washazisikia mda mrefu.
MWISHO SI KILA MSUKUMA ANA SIFA ZOTE ZA WASUKUMA.wapo ambao miili yao haiwaruhusu kazi ngumu.
USHAMBA UNAREKEBISHIKA,ILA KAMA NI WA MJINI AMA KASOMA BASI HILI LA USHAMBA HANA.
NB:watu wote wa vijijini bila kujali kabila wanamuonekano wa ushamba.
KWA SWALI LOLOTE NITAJIBU,dada zangu wanisamehe
 
Labda ukitaka mwanamke wa majambo'z kaoe mzaramo lkn jiandae kupambana na stress na uwe huna wivu maana hawajui kukataa....
 
Wanaboa sn kwa lafadhi zao!

Siyo LAFADHI ni LAFUDHI,hapa tu hata wewe ushaboa na kiswahili hukijui kuliko hao wanaokuboa.
USIPENDE KUJIFANYA WAJUA HUKU UMEONESHA UMBULULA KWENYE MAANDISHI YAKO.
Wewe ni wa wapi huna kwenu?Hakuna lafudhi yoyote ya kilugha kutoka kabila lolote utakayoitumia hapa nchini ionekane inavutia ukiwa unaongea KISWAHILI,kama unabisha weka hapa kabila lako watu wakujuze kuhusu lafudhi ya kabila lako.
LAFUDHI NI UTAMBULISHO UNAOTOKANA NA MAENEO TUNAYOTOKA AMBAKO KISWAHILI KINAZUNGUMZWA KWA NADRA SANA KAMA AMBAVYO KIINGELEZA KINAWAPIGA CHENGA WATANZANIA WENGI.
 
Labda ukitaka mwanamke wa majambo'z kaoe mzaramo lkn jiandae kupambana na stress na uwe huna wivu maana hawajui kukataa....

Watake radhi watani zangu,kwani wote ni malaya?Ama ni mambo ya zilipendwa?
 
Wakizeeka huwa wanakuwa wachawi..! Ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaaaa

No thank you!
hakuna kitu kama hicho.
wachawi wapo wazee na wasio wazee,na wachawi ni wachache sana japo mchawi mmoja anaweza kuwa kero hata kwa kijiji kizima.
UCHAWI NI UAMUZI BINAFISI.na kuna koo za wachawi pia na hizo watu hawaowi pale labda kama hawajui kabisaaa!
 
siku hizi hiyo ilishabaki historia,nani karne hii anachukuliwa kwenye chagulaga.....

ni nadra sana kwa sasa kuona chagulaga ILA NILIAMBIWA MAJUZI TU kuna maeneo walikolowea wasukuma miaka mingi kama morogoro sehemu za ndani kabisa maporini bado wanautumia utaratibu huu,pia na maeneo mengine yaliyojaa wafugaji wengi.
DUH ILA KWELI NDUGU ZANGU TULIKUWA HATUJUI KUTONGOZA KWA UTARATIBU HUU WA KUJIPANGA WAVULANA WOTE NA KUMZUIA MSICHANA MREMBO ASIPITE MPAKA ACHAGUE ANAEMPENDA AMA ALIYEVUTIWA NAYE MANA SAA ZINGINE ANAKUTANA NA SURA HAZIJUI KABISA
 
naongezea tu sifa za dada zangu kwa kuwalinganisha na makabila mengine.
1.hawaendi unyagoni(hakuna darasa la mapenzi)
2.si wataalamu wa biashara kama wachaga(unaweza kuwafundisha)
3.upole,ukalimu na unyenyekevu wao unafananishwa sana na wengi sawa na upole,ukalimu na unyenyekevu wa wanyakyusa.
4.wanapenda wageni nyumbani tofauti na watu wengi wakaao mijini
5.wanapenda kununuliwa nguo BASI,hawahitaji mambo makubwa kama magari,simu ghali,mitoko ya club ama disco.
6.wanapenda kuwapelekea mama zao zawadi ya VITENGE,mama zao wanapenda sana zawadi ya vitenge.
 
inabd tufanye mchakato,kama wana sifa hzo tutangaze nia.
 
Siyo LAFADHI ni LAFUDHI,hapa tu hata wewe ushaboa na kiswahili hukijui kuliko hao wanaokuboa.
USIPENDE KUJIFANYA WAJUA HUKU UMEONESHA UMBULULA KWENYE MAANDISHI YAKO.
Wewe ni wa wapi huna kwenu?Hakuna lafudhi yoyote ya kilugha kutoka kabila lolote utakayoitumia hapa nchini ionekane inavutia ukiwa unaongea KISWAHILI,kama unabisha weka hapa kabila lako watu wakujuze kuhusu lafudhi ya kabila lako.
LAFUDHI NI UTAMBULISHO UNAOTOKANA NA MAENEO TUNAYOTOKA AMBAKO KISWAHILI KINAZUNGUMZWA KWA NADRA SANA KAMA AMBAVYO KIINGELEZA KINAWAPIGA CHENGA WATANZANIA WENGI.
Hapo poti umeua kabisa!! huyu jamaa anataka kuwaaaibisha dada zetu!!
 
Kwenu mna ng'ombe?
Sioi unawaza kuoa binti wa kisukuma afu kwenu peupe kama uwanja wa shule.
 
mwambie amlete kwangu,nimgegede hata kwa siku tatu tu,nitamwelezea sifa zao.
 
Wasukuma tu watu wazuri,wanyenyekevu,wachapakaz na wavumilivu kifupi tuna sifa nying nzuri,ila pia sometimes tuna kiburi ukitu take for advantage,kuhusu uwanja wa fundi selemara ni uwezo wa mtu kujfunza na wilngnes ya kumfanya mme wake afurah,ivo unaweza kuoa
 
Back
Top Bottom