Anayefahamu sifa za mabinti wa kisukuma

Anayefahamu sifa za mabinti wa kisukuma

Wasukuma tu watu wazuri,wanyenyekevu,wachapakaz na wavumilivu kifupi tuna sifa nying nzuri,ila pia sometimes tuna kiburi ukitu take for advantage,kuhusu uwanja wa fundi selemara ni uwezo wa mtu kujfunza na wilngnes ya kumfanya mme wake afurah,ivo unaweza kuoa

Nakubaliana sana na wewe hapo nilipo bold..!
 
na wanaume wa kisukuma wakoje kitabia?


cc: Muuza Mikwaju
Hawana matatizo, yawezekana wakaonekana washamba sababu ya upole na uadilifu. Ni wavumilivu pia hawana tamaa za ovyo ovyo. Ila usitumie advantage ya utulivu wao ukamnyanyasha. Hutafanikiwa asilani. Ila hao ndio wa kuoa.

Ni miongoni mwa wanawake wenye maadili sana wachache Tanzania na pengine duniani. Ukiona anatatizo la ushamba, wewe mfundishe tu. Wanafundishika sana wale na ni watii. Mwanamke wa Kisukuma mwonyeshe mapenzi ya kweli tu.

Utaona ulichelewa kuoa.Nimekaa nao sana kule Mwanza na Shinyanga nawafahamu. Hawapendi shari na wachapa kazi sana. Wanapenda watu na si wabaguzi.
 
Last edited by a moderator:
1: wana nidhamu kwa waume zao
2: They are very submissive
3: Ni wakarimu
4: wavumilivu
5: Wana nguvu (kama una shamba ondoa shaka)
6: Wana upendo na ndugu kwa upande wa mwanaume (siyo kama wamachame)

Hizo ni general, lakini binadamu wote si sawa, huwezi kushangaa sana kukutana na tabia opposite to these.

Umeona eeeeh!
 
Back
Top Bottom