Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

Unaitwa mlima chamriho. Upo kijiji cha mariwanda na sanzate
 
Natamani sana kupanda kilimanjaro, jinsi wazungu wanavyofurahia wakipanda inanifanya nione ni jambo la kufanya karibuni. Lakini nasikia pia watu wanakufa sana kwenye kupanda vifo vingi havitangazwi ila wale wapandaji (porter) wanajia, je ni salama kiasi gani kupanda mlima kili?
 
mlima mrefu kuliko yote mkoa wa mara ni mlima chamriho, uko maeneo ya nyamuswa umeungana na mlima balili wa bunda, kwenye huo mlima inasemekana kuna vitu wajerumani wamefukia juu ya mlima. pia ndio mlima mrefu kuliko yote kanda ya ziwa
kweli, maeneo ya maliwanda mugeta, sanzante, wajerumani walifika maeneo haya, mlima chamlio ndo unasemekana ni mrefu kuliko yote mkoa wa mara, pia kuna mlima mtiro, musoma vijijini ndo wa pili
 
Mara kuna milima mingi sana...
unataka ukatambike nini[emoji23][emoji23]

nmetoka huko siku sio nyingi
 
Kamugegi au Kamugendi?...najua safu za milima mirefu mkoa wa Mara ni huku Sirorisimba kuelekea Manchimeru njia ya kwenda Mugumu ukitokea Kiagata.

Home sweet Home
Kamugegi ni kijiji flan ivo kipo kiabakari af ndani ndani uko njia inayoenda kutokea mgango
 
Kulingana na taarifa ya utalii ya bodi ya utalii ya mwaka 2012 ya vivutio vya utalii kanda ya ziwa (Mara, Mwanza, Shinyanga na Kagera) Mlima Mtiro unapatikana wilaya ya Musoma vijijini (eneo la majita) ndio mlima mrefu kanda ya ziwa na sio sio mkoani Mara peke yake.
 

Attachments

Mlima mrefu sio ule uko njia ya kwenda Mugumu ukipita Ikizu, kabla hujafika Kyandege hapa katikati kuna mlima mrefu sana jina lake nimeusahau
Not Kyandege ukiwa unatoka ikizu kwenda Mgeta
 
The highiest peak in Lake Victoria zone is CHAMRIHO HILL. Upo Tarafa ya Chamriho, Kata Ya Hunyari, Kijiji Cha Sarakwa zamani Mariwanda.
 
  • Thanks
Reactions: ram
mlima mrefu kuliko yote mkoa wa mara ni mlima chamriho, uko maeneo ya nyamuswa umeungana na mlima balili wa bunda, kwenye huo mlima inasemekana kuna vitu wajerumani wamefukia juu ya mlima. pia ndio mlima mrefu kuliko yote kanda ya ziwa
Sio Nyamuswa kaka. Ni Kata ya Hunyari
 
Ni mlima Chamriho upo barabara ya kwenda Mgeta baada ya kufika Sanzate
 
Back
Top Bottom