Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,897
- 33,709
ukilinganisha na mlima rorya lima chamriho ni mfupimlima mrefu kuliko yote mkoa wa mara ni mlima chamriho, uko maeneo ya nyamuswa umeungana na mlima balili wa bunda, kwenye huo mlima inasemekana kuna vitu wajerumani wamefukia juu ya mlima. pia ndio mlima mrefu kuliko yote kanda ya ziwa