Alfatia
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 251
- 120
Ndomaaana naipenda Jamiiforum kisima cha habariii Nmejifunza kitu Ningepigwa
ASANTE KWA USHAURI
ni mataplei watu wana fake maisha ili wakunase wana azima magari wana claims title za uongo kama sio utapeli ni nini. pia wana vipisi va magazeti wanadai haari zao zilichapishwa citizen na mwananchi nadhani ukifuatilia unaweza jua hata hizo ni fake