Anayefahamu kuhusu biashara ya Q-Net

Anayefahamu kuhusu biashara ya Q-Net

Ndo mana nasema, wote humu mnaoiponda Qnet ni hamuifahamu laiti kama mngekuwa mnaijua mngepambana mkajoin..
Na maneno yote haya yanakuwepo kwa sababu changamoto kubwa ya kujoin ni pesa....Semeni ivo sio mnaanza kuleta habari za utapeli na mengine mengi...
Nimesema aliyetapeliwa ajitokeze ajieleze ametapeliwa vipi??
 
Tutaenda mikoa yote mpaka nje ya Tanzania halafu nyinyi mbaki mnaponda mitandaoni wakati wenzenu wanatengeneza pesa..
 
QNET ni Utapeli aina ya Ponzi. Kifupi ni deci nyingine.
Huko India, Ilifika kesi moja mahakama kuu. Jaji aliielezea QNET kama mtandao ambapo unatafuta mpumbavu moja ili akusaidie kupata wapumbavu wengine ambao watatafuta wapumbavu wengine.
Mwanzoni, kama ilivyo Ponzi zote, wachache hupata hela ili kuwavuta wengine wengi baadaye.
 
Ukienda kwenye semina muda wowote salamu ni good morning partners , nilishangaaa, jioni "good morning partners"
Kwakweli nimecheka sana sana sana yani muda wote wanawaza uongo duuuh
 
ndo maana kuna jamaa anafanya hapo kazi ananisumbua kila siku akiomba appointment na mimi..kumbe ndio upuuzi ka huu anataka kuniambia?
 
ndo maana kuna jamaa anafanya hapo kazi ananisumbua kila siku akiomba appointment na mimi..kumbe ndio upuuzi ka huu anataka kuniambia?
Yani nyie mnanifurahisha hapa mpaka basi..Leo hii unasema anakuitia upuuzi ipo cku utamwelewa..aendeleen kubaki na mawazo mgando mitandaoni..Good morning
 
Ukienda kwenye semina muda wowote salamu ni good morning partners , nilishangaaa, jioni "good morning partners"
hata mimi nilishangaa mkuu... mnakaa hapo sijui ndio room ya mikutano mnasimama kama mzunguko flani alafu mnasalimiana kwa nguvu GOOOD MORNING PARTINERS.......dah nlishangaa
 
Naijua Qnet vzr hii sio utapeli ila utapeli unaweza onekana pale mtu aliyekualika anapokupa expectation za uongo na ku pretend ana gap kubwa sana kimaisha anaweza kukuambia hata ameagiza gari ya 40m ipo bandarini na ni kijana mdogo tu ila hii ni kwa wachache Qnet wanahimiza sana kutokumdanganya mtu ila wanahimiza pia members wao kuwa na mentality ya kibilionea like vile ana billion kadhaa bank hivyo hii inawaathiri wengi na kuchukulia vitu vikubwa kirahisi rahisi tu

Qnet haina utapeli wowote ila wanachoficha ukiingia Qnet unatakiwa upige kazi kuliko ulivyowahi kufanya mwanzo pia na bahati inachangia hasa kama watu wako wa karibu watakuelewa na wajoin

Kingine Qnet ni pyramid scheme hivyo wa mwanzo ndio wanaopiga fedha kama hawana akili nzuri unapoitaja Qnet Tanzania usipomtaja Mr Eliya Mroso, Andrew Gerald, Happy Matemba, Mr Amani na familia yake toka bukoba n.k bado hujaijua Qnet kama huwajui hasa magwiji hawa wamwfanikiwa mno kwa wiki wakipata dola elfu nane wanahuzunika kinoma japo kazi wanayofanya ni kidogo kwa kuwa hii ni pyramid na wao wapo ontop hawana stress hela kuingia kwao ni pai

Hivyo ww unaeanza mpaka uwe na watu wengi ndio utaweza ona matunda vinginevyo utaishia kufail na kinachowafelisha wengi ni expectations walizopewa toka mwanzo hlf zenyewe sio rahisi kuzifikia kilelemama

Na kingine commission zao zipo chini sana ukifananisha na bidhaa uliyopelekea kuuzwa

Qnet sio utapeli ila sio jambo rahisi kihivyo itakuhitaji upige kazi na uwe na skills za kujenga team itakayofanya kazi
 
Qnet ni iko poa, ila watu wataiponda ilhali hawaijui. Ukitaka kufanikiwa jifunze kupitia waliofanikiwa, sio walioshindwa maisha na wanakaa mitandaoni wakiponda Kila kitu. Qnet is world wide organisation na Mimi binafsi nimeifahamia Malaysia nilipokuwa chuo Perak.
habari niko nje ya mada nilikuwa naomba kujua utaratibu wa kusoma huko malasya ada zake na kadhali. INBOX KAMA UKIWEZA
 
Nguvu ya mtu haipotei hata cku moja, ni kweli Qnet watu wanatengeneza pesa ili mradi tu ufanyekazi mana hamna pesa za bure bure duniani, ukiona unapata pesa kirahisi ujue hapo kuna tatizo
mkuu wewe una bidhaa gani za qnet unauza au unasubiria kumpeleka mtu upewe mgao wako
 
Nataka kujua Aa kufahamu jinsi hii qnet inavyo operate mfano mtu akanunua bidhaa toka kwao je uyo aliyenunua iyo bidhaa yeye anapataje faida au anapata vip kipato chake

Kifupi nataka kujua jinsi inavyofanya kazi na jinsi watu wanvyokuwa connected

Nb: nimeuliza nataka kupata ufahamu wewe unayejua sana na ukiamua kunitukana utakuwa shithole kama alivyosema trump
 
Nimesikia kuwa hii ni business networking organization na watu wanapiga mkwanja wakutosha huko. Naomba kama kuna anayeifahamu hii atujuze kwa maslahi ya wengi.

Kama wanapiga mkwanja, basi kuna watu wanapigwa mkwanja
 
Nimesikia kuwa hii ni business networking organization na watu wanapiga mkwanja wakutosha huko. Naomba kama kuna anayeifahamu hii atujuze kwa maslahi ya wengi.

Hivi haya mambo mbona ni yale yale yanakuja kwa majina tofauti tuu ..lakini wadau bado mnagoma kuelewa...
 
Wadau mwenye utaalamu wa biashara kwa njia ya internet kuna hii kampuni ya q net ambayo inajishunghulisha na biashara kwa njia mtandao. Kuna mdau wangu ananishawishi niingie akinieleza kuwa kunamafanikio ndan ya muda mfupi.
Nimaona kabla sijafanya chochote nipate msaada kwa wanajamii forum wenye uelewa nahili swala. Naomba mnisaidie
 
Changanya na za kwako hivi mkuu katika hali ya kawaida saa ya milioni tano utamuuzia nani katika usawa huu?
Utaweka ela kutoka itakuwa mtihani namfahamu dada flani rafiki yangu maskini kaacha kikazi chake klichokuwa kinampa kula mtaji wote kapeleka huko sasa hivi anajitahidi kuwa smart lakini kachoka kwa kumtazama.
Anataka kukugeuza fursa
 
Mwenyewe natafakali bidhaa moja 4000000 +
 
Back
Top Bottom